Netanyahu atukana wenzake mtindo mmoja kisa ni Hamas

Inatokea mara chache kulingana kwa kauli.Kwa ujumla wake Netanyahu amekuwa mropokaji zaidi kuliko Aragich.Huyu ni waziri mkuu wa nchi na huyo wa Irani ni waziri tu wa mambo ya nje.

Wle wale wanawasema wengine huku na kwao wanayo hayo hayo..
Hili ndio baya zaidi linaloisibu dunia kwa sasa.Maovu wafanye wao tu wakifanya wenzao wanaona ndio zaidi na malalamiko na vitisho haviishi.
Si unaona maovu yanayofanywa Gaza na Palestina yote na bado hata kukamatwa hawajakamatwa na hakuna anayewawekea vikwazo vya kweli .
Ugaidi mkubwa ni ule unaofanywa na wao wa kuangamiza vizazi na majengo yao lakini wao wakiguswa wawili watatu inakuwa ni malalamiko na kesi kupelekwa mpaka UN.
 
Israel revange is fear ukiona mpaka Ge4man anamsal8mia Israel jiulize kile kimewapata. Alie panga, alie fund, alie tekeleza, alie toa wazo, alie wahifadhi alie juwa hakusema wote hawa watalamba mchanga. Israel kaa mbali nayo
Huyo anaijua Israel superficially. Inabidi apate muda ili aisome vizuri Israeli ndipo atajua nn maana ya simba wa Yuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…