Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Nusu ya wanajeshi wa Israel inasemekana ni mashoga, na wanasumbua mbaya je wangekua ni wanaume kamili ingekuaje?
 
Vipi umesikia Trump alivyosema? Kwamba kiongozi mkuu mpya wa Iran ameaga dunia...!!!!

Sijui kama ni kweli au ni swagger zake tu. Time will tell.
 
Israeli itadanganya mpaka lini kuwa Netanyau yupo hai? Mambo mangine ni ya kitoto sana. Watu wenye akili kama mimi nangojea nione kama wataweza kuficha hii mimba
 
Israeli itadanganya mpaka lini kuwa Netanyau yupo hai? Mambo mangine ni ya kitoto sana. Watu wenye akili kama mimi nangojea nione kama wataweza kuficha hii mimba
Pole sana kama hawakudanganya ayatollah Khomeini kwanini wadanganye Bibi
 
Israeli itadanganya mpaka lini kuwa Netanyau yupo hai? Mambo mangine ni ya kitoto sana. Watu wenye akili kama mimi nangojea nione kama wataweza kuficha hii mimba
Ungekua na akili ungekua brainwashed 🧠 na Lissu?
 
Mbona kahawa yake haijapungua hata baada ya kuinywa ,hii video sio AI kweli.
Unaijua cappuccino?

Kwamba watu wenye teknolojia kubwa wanaweza tengeneza video ya AI wakafanya hizo silly mistakes za UVCCMπŸ˜‚

Haya mtuambie ni AI au Clone au vyote??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…