Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Iran haiwezi kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv
Hivi nyie taarifa za vita mnazipatia wapi? Mbona Kila siku viongozi wa Israel na US Wana lambishwa mchanga? Hivi mnadhani Kwa mnavyofichwa Kama sio mtu wa kufukunyua huwezi pata. Mnalishana upupu humuIran haiwezi kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv
Mtanyooka tu uongo wenu umewaumbua mnaua watu kwa maneno kutumia hisia!!!Can be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote
We una akili Gani!?Israeli itadanganya mpaka lini kuwa Netanyau yupo hai? Mambo mangine ni ya kitoto sana. Watu wenye akili kama mimi nangojea nione kama wataweza kuficha hii mimba
Nyau karudi Tena ataanza kuwashona vizuri sana.Hamjiulizi kwanini habari hii ipo kwenye mitandandao tu? Kwenye television kubwa duniani haipo.
Angalieni msije kuwa Mmejazwa upepo na wajanja
Okay Account ya Magufuli nani ana post?Mitandao ya kijamii ya viongozi wakubwa kwa 75% inapostiwa na wasaidizi wao waliopewa hiyo kazi, hivyo usiamini kila kinacho andikwa na kiongozi mkubwa kuwa ni yeye mwenyewe kaandika kwa mkono wake....
ahsante kwa kahawaIsraeli itadanganya mpaka lini kuwa Netanyau yupo hai? Mambo mangine ni ya kitoto sana. Watu wenye akili kama mimi nangojea nione kama wataweza kuficha hii mimba
au ya yule mkuu wao mbona simuoni akipost kule XOkay Account ya Magufuli nani ana post?
ayatolah KhameneiMkuu wa nini?
Wewe uliyeelewa tutafsirie, mkuu.Kwani umeelewa kilicho zungumzwa hapo?? 🤔 🤔
Top leaders (viongozi wakuu) wa Iran enzi za uhai waoHivi nyie taarifa za vita mnazipatia wapi? Mbona Kila siku viongozi wa Israel na US Wana lambishwa mchanga? Hivi mnadhani Kwa mnavyofichwa Kama sio mtu wa kufukunyua huwezi pata. Mnalishana upupu humu
Haya leta taarifa za viongozi wa ISRAEL NA USA waliouliwaHivi mnadhani Kwa mnavyofichwa Kama sio mtu wa kufukunyua huwezi pata. Mnalishana upupu humu
Maskini Ritz sijui atauficha uso wake wapi?Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote
View: https://x.com/netanyahu/status/2033190035764232360?s=46
View: https://x.com/netanyahu/status/2033214114957291955?s=46
Hiyo video ai,hata grok imessma ai,ukizoom tarehe japo kaunta ni march 2024,huo mgahawa upo mmoja tu Jerusalem na umefungwa kipindi hiki Cha vitaBaada ya kipondo cha funga mwezi Feb 28,2026 .maadui zetu sasa hivi wanaweweseka na kuropoka maneno kama vichaa kwa kudai mimi nimekufa kwa mashambulio ya Iran hawakuishia hapo wakadai hotuba niliyoitoa ni AI maana nilikuwa na vidole sita kitu ambacho wajinga pekee wanaweza kukiamini.
Napenda kuufahamisha ulimwengu kuwa mimi ni mzima nakunywa kahawa na vidole vyangu vitano kwa mkono wa kulia na wa kushoto kama mnavyoniona.
Adui zetu silaha yao kubwa ni Uongo na Upotoshaji-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!! Taarifa hii waione wafuatao;
Adiosamigo gTurn gallow bird zitto junior na wote wanao omboleza kifo cha Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kama vile kimsboy na Mme wake!!
Kawaida kama nyie mnavyo dai mme muuwa Ayatollah Mujtaba mara kaumia mara yuko hoi mara mmatoa 10 Millions muonyeshwe yuko wapiPole sana
NAjua hii taarifa imeleta msiba wa pili