Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel.
Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran wametajirika mno, Hakuudhuria mkutano bungeni ulioongozwa na Netanyahu, Mara kwa Mara hadi sasa anawawekea vikwazo Israel kwenye silaha, Kuvujisha mipango ya Israel kwa Iran, Kuwalizimisha Israel kusimisha vita, Kuwadekeza waandamaji wa Hamas na Hezbollah wanaofunga barabara na vyuo, n.k