Kwa hiyo unaona umeandika kitu cha maana sana hivi unajua kila nchi inatumi Google kama search engine. Halafu coach cola nacho ni kitu cha kujivunia. Kule kijijin kwako bibi anatumia facebook🤣🤣🤣 Muda utatoa majibu
Matajiri hutegemea watu na recilimali natura resources kama mafuta aliyekuambia brick ni maskin ni naniBRICKS haina chochote cha maana. Maskini mkijikusanya wengi mnaongeza matatizo. Matajiri wakijikusanya wengi, wanaongeza nguvu.
Brics ipi ? Soon Bricks itabomoka maana China ananufaika zaid kwenye huo umojaTanzania kuna wajinga wengi sana
Trump kama ataendeleza ujinga ndio ataua kabisa empire ya USA maana nchi nyingi zitakimbilia bricks. Sasahivi kuna options sio kama zamani😀😀
Hivi hii propaganda aliwalisha nani nyie Wadanganyika,,,,,,nchi ambaye kila siku kiongozi wao anachoma mafuta kwenda U.S.A anarandaranda kwenye korido za ikulu ikiomba misaada yaani naifananisha na burundi kwa anavyokujaga hapa afganistan kuombaomba nabo mtu hata kutumia zile za changanya na za kwako za Jk bado unashindwa kuona mwanga. Hivi ni lini mtaanza kutumia mbongo zenu??!!!Make America Great Again (MAGA)
Hakuna sera nzuri km hii kwa marekani kwa miaka ya sasa! MAGA ndiyo itakayomfanya muisrael asimame tena akiwa strong zaidi.
Kwanini? Ipo hv, marekani wanawategemea sana waisrael katika teknolojia. Hii inawapa jukumu la moja kwa moja marekani kuwalinda waisrael kwa nguvu zote.
Sera ya MAGA kwa kiasi kikubwa itafanywa upande wa teknolojia ambako huko wapo waisraeli. Kwahyo bwana Netanyau anaona mshirika wake wa kweli anayemlinda in exchange of technology kaingia madarakani, lazima afurahi.
Bricks ni matofali au?Tanzania kuna wajinga wengi sana
Trump kama ataendeleza ujinga ndio ataua kabisa empire ya USA maana nchi nyingi zitakimbilia bricks. Sasahivi kuna options sio kama zamani😀😀
Acha utoto dogo hiyo technologia kwanini asiitumie nchini mwake aache kusubiri misaada ya USA?Make America Great Again (MAGA)
Hakuna sera nzuri km hii kwa marekani kwa miaka ya sasa! MAGA ndiyo itakayomfanya muisrael asimame tena akiwa strong zaidi.
Kwanini? Ipo hv, marekani wanawategemea sana waisrael katika teknolojia. Hii inawapa jukumu la moja kwa moja marekani kuwalinda waisrael kwa nguvu zote.
Sera ya MAGA kwa kiasi kikubwa itafanywa upande wa teknolojia ambako huko wapo waisraeli. Kwahyo bwana Netanyau anaona mshirika wake wa kweli anayemlinda in exchange of technology kaingia madarakani, lazima afurahi.
Israel ilianzisha na mwiingereza na marekani ili kulinda maslahi yao middle east kabla ya Israel puppet USA alikuwa Iran kiufupi Israel inatumika kama kambi ya jeshi ya USA pale middle eastYah ipitie hio itakupa perspective mpya kuhusu marekani na israel.
Upande wangu mimi naiona israel kama kirusi fulani kinachoitafuna marekani pole pole na ndio itakayoangusha utawala wa marekani duniani.
Historia ni mwalimu mzuri sana.
Baada ya WW2 (1945), marekani iliimarika sana kichumi na kuwa taifa namba moja duniani kwa uchumi mkubwa.
Tangu wayahudi wapate ardhi pale middle east na kuanzisha taifa la israel (1948) kumekuwa na migogoro mingi sana na mapigano ya hapa na pale. Migogoro hio yote alikua anapelekewa marekani apambane nayo. Mfano vita ya Iraq kipindi cha Sadam. Ile vita ilikua ni ya muisrael ila marekani ndio ilienda kupigana, hivo kushusha uchumi wa marekani pakubwa na kuiachia nafasi china kujiimarisha kiuchumi.
Ndio ni matofali ya kuchomaBricks ni matofali au?
Ndio baba la madikteta Putin, anatumia kutishia?Ndio ni matofali ya kuchoma
Putini akili kubwa, west na umoja wao wanambwilambwila tu hawajui la kufanya. Naombea tupate wakina putin kama kumi hivi. Hapa duniani tungeeshimiana sanaNdio baba la madikteta Putin, anatumia kutishia?
Yaani dunia itawaliwe na madikteta halafu wewe kigulumwembe kanyelamumo uheshimiwe?Putini akili kubwa, west na umoja wao wanambwilambwila tu hawajui la kufanya. Naombea tupate wakina putin kama kumi hivi. Hapa duniani tungeeshimiana sana
View attachment 3164709
Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel.
Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran wametajirika mno, Hakuudhuria mkutano bungeni ulioongozwa na Netanyahu, Mara kwa Mara hadi sasa anawawekea vikwazo Israel kwenye silaha, Kuvujisha mipango ya Israel kwa Iran, Kuwalizimisha Israel kusimisha vita, Kuwadekeza waandamaji wa Hamas na Hezbollah wanaofunga barabara na vyuo, n.k
Unajua maana ya udikiteta? Au mnadakia tu kwasababu marekani amewatangazia kwamba huyu ni dikiteta, huyu ni gaidi nk. nkYaani dunia itawaliwe na madikteta halafu wewe kigulumwembe kanyelamumo uheshimiwe?
Hivi unaujua udikteta au unaandika tu kushabikia usichokijua?
Una uhakika kwamba kila anachotangaza Marekani ni kibaya au unampinga Marekani kwa kuwa tu Iran kakuambia kwamba ni kafiri?Unajua maana ya udikiteta? Au mnadakia tu kwasababu marekani amewatangazia kwamba huyu ni dikiteta, huyu ni gaidi nk. nk
Usinichoshe na maujinga yakoUna uhakika kwamba kila anachotangaza Marekani ni kibaya au unampinga Marekani kwa kuwa tu Iran kakuambia kwamba ni kafiri?
Tofati mmoja ni muwafrikamkongo na mwingine muarabumzunguIvi tusaidiane mawazo uyu Netanyahu na Mwijaku wanatofauti gani lipokuja suala la kujipendekeza kwa Boss mpya.!!!!
Dual la kukuBrics ipi ? Soon Bricks itabomoka maana China ananufaika zaid kwenye huo umoja