Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Hatutaki aliyeua kwa upanga na auliwe kwa upanga vita vita mpaka mwisho wa duniaMuda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.