Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Hatutaki aliyeua kwa upanga na auliwe kwa upanga vita vita mpaka mwisho wa duniaMuda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Unajua maana ya agreement "deal"?
Unajua maana ya agreement " deal"?
Unamalizaje watu ambao vita iko damuni wanataka ardhi yao. Hua ni maneno ya vitani tu na kutunishiana misuli. Maana Gaza imechakaa lakini mateka hawajapatikana.Lakini Netanyahu alisema hataacha vita mpaka kuifuta Hamas huko Gaza. Lakini amesalimu amri inasemekana Trump katoa ultimatum kabla hajaingia Ikulu hataki kusikia habari za mateka Wala vita hapo middle east
Hivyo vifusi vya mawe na sementi visikutisheUnamalizaje watu ambao vita iko damuni wanataka ardhi yao. Hua ni maneno ya vitani tu na kutunishiana misuli. Maana Gaza imechakaa lakini mateka hawajapatikana.
Hii kali kweli kweli. Nitanyahu anaonekana kachoka sana. Eti ndio alianzishe tena na Iran. Kapata fundisho kali.Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Walichojifunza ni kuwa - STATE YA WAPALESTINA inakuja hivi karibuni baada ya zaidi ya miaka 70 ya kusubiri.Ila Hamas watakua wamejifunza
Kinachomshangaza Netanyahu sio kuua,bali kutowapata mateka waliochukuliwa na Hamasi,hapa ndio changamoto alionayo,wamepiga sn Gaza wakajua wapo kile,wakapiga Syria lkn nako hawapo so hana budi kurejea mezani maana anaweza wamaliza wapalestina na asipate mateka.Muda mfupi ujao tunatarajia Tangazo rasmi la kusitisha mapigano huko Palestina na Israel baada ya majadiliano ya muda mrefu waziri mkuu mkorofi wa Israel amekubali kukubaliana na matakwa ya Hamas na kusitisha vita, pamoja na kubasdilishana mateka.
Trump kamwambia sitaki vita .alikua anataka kuleta kile kiburi chake akaambiwa huu ni moto mwengine akaufya.Hii kali kweli kweli. Nitanyahu anaonekana kachoka sana. Eti ndio alianzishe tena na Iran. Kapata fundisho kali.
Somo kubwa alilojifunza ni kuwa kumuondoa Sinwar, Haniya na Nazrallah ndio kama unawaamsha nyuki wakuvamie. Hakuna mapumziko aliyoyapata uwanjani zaidi ya kiki huko Afrika na zaidi ni kwa wazayuni wa Mbagala.
Wewe ona mashetani hao ambao kwao vifo vinatukuzwa na maisha ya watu wengine wasio waabudu shetani haiwahuzunishiUnajua maana ya agreement " deal"?