Netanyahu, kachanganyikiwa baada ya kuishindwa Serikali ya Iran, anawaomba raia wafanye mapinduzi Iran

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Process ya political brainwashing inaanziaga mbali sana. Washajua ipo siku wanaenda kuipiga Iran. Na kweli itapigwa japo WAVAA bakuli kichwani watapinga. Israel anachokifanya NI kuwaandaa WAIRANI wajipange vizuri ili siku wakiingia wapokelewe. Regime change sio ya kukurupuka. Trust me,wapo wanajeshi,mawaziri,majaji,imam,n.k ambao NI MOSSAD. Wanamuelekeza Netanyahu cha kufanya
 
yaani unawaona iran km tanganyika fulani hivi...
 
Process ya political brainwashing inaanziaga mbali sana. Washajua ipo siku wanaenda kuipiga Iran. Na kweli itapigwa japo WAVAA bakuli kichwani watapinga. Israel anachokifanya NI kuwaandaa WAIRANI wajipange vizuri ili siku wakiingia wapokelewe. Regime change sio ya kukurupuka. Trust me,wapo wanajeshi,mawaziri,majaji,imam,n.k ambao NI MOSSAD. Wanamuelekeza Netanyahu cha kufanya
Hawa taifa teule na Iran nani alianza kumchokonoa mwenzie.....halafu yy anaongea na watu wa huko yy kama nani.....aende nao toe to toe sio kuanza kuwafundisha watu mahesabu na namna ya kuishi na serikali Yao....mapinduzi anayoyatamani hawezi kuyafanikisha kwasababu watu washamuona yy ndio nuksi....
 
Process ya political brainwashing inaanziaga mbali sana. Washajua ipo siku wanaenda kuipiga Iran. Na kweli itapigwa japo WAVAA bakuli kichwani watapinga. Israel anachokifanya NI kuwaandaa WAIRANI wajipange vizuri ili siku wakiingia wapokelewe. Regime change sio ya kukurupuka. Trust me,wapo wanajeshi,mawaziri,majaji,imam,n.k ambao NI MOSSAD. Wanamuelekeza Netanyahu cha kufanya
Usiropoke kijana.
Siku hizi huwezi ukawa brainwash watu kirahisi hivyo.
Kwani hao wairan hawajaona maafa yanayowatokea Walibya walipomsaliti Gaddafi!?

Unadhani hawajaona ya Syria na Iraq!?
Sio rahisi kama unavyodhani.
Kama ni rahisi huyu Netanyahu wako asingesusiwa kikao pale UNGA akiwa anahutubia.
Embu kijana mdogo Nenda kaifuatilie Iran kuanzia 1950s imetokea wapi na inaelekea wapi.
Sio rahisi hivyo kabisa kuipiga Iran sahau.
 
Nilidhan Kwa kuniita kijana basi wewe mtu mzima uliyestahili kuwa na busara ambayo ingekunong'oneza "kama huwezi jibu hoja,nyamaza kuliko kumwambia mchangiaji asiropokee"
 
Prince; nimeisilikiza hiyo video plus body language ya Netanyahu na sijaona tatizo lolote kaka; unless unambie labda kilicho furahisha Wa Iran hapo ni sentence ipi? Binafsi sipendi Iran na Israel wapigane kwasababu moja tu; bei ya mafuta itapanda tena duniani, halafu na huku kwetu Africa ndio itapanda zaidi kwasababu controllers wa bei za vitu nchi nyingi za Africa huaga sio serikali, vile vyombo huaga vipo pale kama picha tu but taiccons ndio wanaopanga everything, now kuwe na sababu ya shida mashariki ya kati? Mungu wangu, pishia mbali hi vita.
 
Irani ni nchi ya ajabu, inamgawanyiko makubwa sana wa ndani,
Serikali inatumia nguvu kubwa ndiyo maana wananyonga sana raia wke
Serikali ni muhimu kuliko watu wanaokiuka ni kitanzi hapo lazima walinde serikali yao vinginevyo wanatafutwa kutolewa pale kwa kila hali ili vibaraka waingie mafuta na gesi wachote tu hao west umbwa
 
Usiropoke kijana.
Siku hizi huwezi ukawa brainwash watu kirahisi hivyo.
Kwani hao wairan hawajaona maafa yanayowatokea Walibya walipomsaliti Gaddafi!?

Unadhani hawajaona ya Syria na Iraq!?
Sio rahisi kama unavyodhani.
Kama ni rahisi huyu Netanyahu wako asingesusiwa kikao pale UNGA akiwa anahutubia.
Embu kijana mdogo Nenda kaifuatilie Iran kuanzia 1950s imetokea wapi na inaelekea wapi.
Sio rahisi hivyo kabisa kuipiga Iran sahau.
Ayatollah Ali Khomen kiboko wa US. NATO na Israel.
 
Wanaukumbi.

Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran:
=========================
🚨🇮🇷🇮🇱 Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP in Iran:

"The blow to Israel cost you $2.3 billion of your money..."

View: https://x.com/stairwayto3dom/status/1856410680200450550?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Dogo hapa wewe ndo umechanganyikiwa. Mbona Iran wamechelewa kuanza Operation Promise..... Mpaka leo? Wapo kimya sana. 😂
 
iran na israel hawana sababu yoyote ya kupigana, hawana wanachogombania, viongozi wao waache ubabe wa kishamba wa kutaka kupigana ili tu kuonesha nani mbabe, wanaumiza wanachi wao bure huku wao wakiwa salama kwenye mahandaki.
mara zote vita ubinafsi ni ujeuri tu wa viongozi.
 
Back
Top Bottom