Motoekoppela te
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 319
- 485
Ukiwa free poti,pitia hii kituUsiropoke kijana.
Siku hizi huwezi ukawa brainwash watu kirahisi hivyo.
Kwani hao wairan hawajaona maafa yanayowatokea Walibya walipomsaliti Gaddafi!?
Unadhani hawajaona ya Syria na Iraq!?
Sio rahisi kama unavyodhani.
Kama ni rahisi huyu Netanyahu wako asingesusiwa kikao pale UNGA akiwa anahutubia.
Embu kijana mdogo Nenda kaifuatilie Iran kuanzia 1950s imetokea wapi na inaelekea wapi.
Sio rahisi hivyo kabisa kuipiga Iran sahau.
Brainwashing | Cults, Indoctrination, Manipulation. It's worth reading poti