yaani unawaona iran km tanganyika fulani hivi...Process ya political brainwashing inaanziaga mbali sana. Washajua ipo siku wanaenda kuipiga Iran. Na kweli itapigwa japo WAVAA bakuli kichwani watapinga. Israel anachokifanya NI kuwaandaa WAIRANI wajipange vizuri ili siku wakiingia wapokelewe. Regime change sio ya kukurupuka. Trust me,wapo wanajeshi,mawaziri,majaji,imam,n.k ambao NI MOSSAD. Wanamuelekeza Netanyahu cha kufanya
Hawa taifa teule na Iran nani alianza kumchokonoa mwenzie.....halafu yy anaongea na watu wa huko yy kama nani.....aende nao toe to toe sio kuanza kuwafundisha watu mahesabu na namna ya kuishi na serikali Yao....mapinduzi anayoyatamani hawezi kuyafanikisha kwasababu watu washamuona yy ndio nuksi....Process ya political brainwashing inaanziaga mbali sana. Washajua ipo siku wanaenda kuipiga Iran. Na kweli itapigwa japo WAVAA bakuli kichwani watapinga. Israel anachokifanya NI kuwaandaa WAIRANI wajipange vizuri ili siku wakiingia wapokelewe. Regime change sio ya kukurupuka. Trust me,wapo wanajeshi,mawaziri,majaji,imam,n.k ambao NI MOSSAD. Wanamuelekeza Netanyahu cha kufanya
Irani ni nchi ya ajabu, inamgawanyiko makubwa sana wa ndani,Yaaan wanamapinduzi wapinduliwe? Huyu mwamba kadata. Labda yeye akizubaa ndio ata pinduliwa na watu wake kwakua hawaoni future ya mavitavita
Usiropoke kijana.Process ya political brainwashing inaanziaga mbali sana. Washajua ipo siku wanaenda kuipiga Iran. Na kweli itapigwa japo WAVAA bakuli kichwani watapinga. Israel anachokifanya NI kuwaandaa WAIRANI wajipange vizuri ili siku wakiingia wapokelewe. Regime change sio ya kukurupuka. Trust me,wapo wanajeshi,mawaziri,majaji,imam,n.k ambao NI MOSSAD. Wanamuelekeza Netanyahu cha kufanya
Nilidhan Kwa kuniita kijana basi wewe mtu mzima uliyestahili kuwa na busara ambayo ingekunong'oneza "kama huwezi jibu hoja,nyamaza kuliko kumwambia mchangiaji asiropokee"Usiropoke kijana.
Siku hizi huwezi ukawa brainwash watu kirahisi hivyo.
Kwani hao wairan hawajaona maafa yanayowatokea Walibya walipomsaliti Gaddafi!?
Unadhani hawajaona ya Syria na Iraq!?
Sio rahisi kama unavyodhani.
Kama ni rahisi huyu Netanyahu wako asingesusiwa kikao pale UNGA akiwa anahutubia.
Embu kijana mdogo Nenda kaifuatilie Iran kuanzia 1950s imetokea wapi na inaelekea wapi.
Sio rahisi hivyo kabisa kuipiga Iran sahau.
Una panick kwa maneno madogo!!?Nilidhan Kwa kuniita kijana basi wewe mtu mzima uliyestahili kuwa na busara ambayo ingekunong'oneza "kama huwezi jibu hoja,nyamaza kuliko kumwambia mchangiaji asiropokee"
Serikali ni muhimu kuliko watu wanaokiuka ni kitanzi hapo lazima walinde serikali yao vinginevyo wanatafutwa kutolewa pale kwa kila hali ili vibaraka waingie mafuta na gesi wachote tu hao west umbwaIrani ni nchi ya ajabu, inamgawanyiko makubwa sana wa ndani,
Serikali inatumia nguvu kubwa ndiyo maana wananyonga sana raia wke
Ayatollah Ali Khomen kiboko wa US. NATO na Israel.Usiropoke kijana.
Siku hizi huwezi ukawa brainwash watu kirahisi hivyo.
Kwani hao wairan hawajaona maafa yanayowatokea Walibya walipomsaliti Gaddafi!?
Unadhani hawajaona ya Syria na Iraq!?
Sio rahisi kama unavyodhani.
Kama ni rahisi huyu Netanyahu wako asingesusiwa kikao pale UNGA akiwa anahutubia.
Embu kijana mdogo Nenda kaifuatilie Iran kuanzia 1950s imetokea wapi na inaelekea wapi.
Sio rahisi hivyo kabisa kuipiga Iran sahau.
Wanaukumbi.
Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran:
=========================
๐จ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP in Iran:
"The blow to Israel cost you $2.3 billion of your money..."
View: https://x.com/stairwayto3dom/status/1856410680200450550?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw