Netanyahu, kachanganyikiwa baada ya kuishindwa Serikali ya Iran, anawaomba raia wafanye mapinduzi Iran

Ukiwa free poti,pitia hii kitu
Brainwashing | Cults, Indoctrination, Manipulation. It's worth reading poti
 
Netanyaho na Wanamgambo wake ni ma mbumbumbu tu wameshaanza mwaka wa pili wameshindwa kukomboa mateka au kujua walipo hapo gaza wataiweza Iran
 
Nasikia hata Ayatollar ni MOSSAD…..
Mnawaona Israel ni miungu 😂😂😂😂
 
Wewe lgbtq unajua ila wairan wenyewe hawajui hongera hata wewe itakua ni masud maana una mpaka habari za ndani kabisa za masud teh teh teh
 
Unajifariji wairani siyo wajinga na hawana utawala wa mabavu juzi tu rais wao kafa angalia mfumo wao wa uchaguzi rais kapatikana kwa nyia ya kura tena ya wazi, kwa akili yako Netanyahu. Anaweza kuwashikia akili raia wa Iran? Nimecheka sana wewe upo Itigi unajua mambo ya Iran. Kuzidi wairan wenyewe hujui Marekani na Ulaya wameishapandikiza maandamano mara ngapi na yanafeli yanapuuzwa.
 
Cha kushangaza huyo Netanyau anayetaka wairan waandamane kuitoa serikali ,wananchi wake wanaandamana kila siku kumtaka aondoke lakini hataki.
Haa Netanyahu bana kama hapo Lebanon ameshindwa kuwaondoa hezbillAh kwenye serikal ya Lebanon huko Iran ni mbali sana serikal za kishia zipo very strong kuliko za kisuni ..Netanyahu atakuwa nje ya siasa Iran ikiwa super power ya medal east
 
Netanyaho na Wanamgambo wake ni ma mbumbumbu tu wameshaanza mwaka wa pili wameshindwa kukomboa mateka au kujua walipo hapo gaza wataiweza Iran
God is great, God is great, and to God be praise

The Israeli Ministry of Defense in the center of Tel Aviv is burning by the power of God at the hands of Hezbollah

And he reported the killing of Israeli officers and soldiers inside the Ministry of Defense.


View: https://x.com/sohil7720/status/1856719471257268613?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mbali na khoromsher yenye balaa bom moja ndani yake yamo 80 yakipigwa 100 umepigwa 8000 Wairan wana mzigo huu..hio mpya imebidi Marekani waende maabara mambo ya chemistry hayo kama ulikimbia shule sio shida zetu we kazana na biblia tu ambayo inambariki mvaa diaper peke yake

Iran has developed chemical weapons based on synthetic opioids such as fentanyl, a U.S. expert warns. These are powerful substances that can incapacitate soldiers and civilians when added to grenades or artillery pieces

Now we should expect the ghost of Colin Powell with a test tube at the UN🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimeishi Tehran tangu 2014,siwezi kubishana na wewe unaeishi Iran ya kwa Mpalange. Wenzangu,huwaga mnaijadili Iran kwenye baadhi ya mambo,mpaka tulioko huku tunashangaa. Baadhi ya mambo MNAKUZA MNO na mengine MNAIFIFISHA SANA. Jamii forum inasomwa na watanzania wengi Sana huku. Eti Itigi😂😂😂
 
Haujaona shida pale mhalifu wa kivita aliyetumia 70b usd kuuwa watoto kumshauri nchi iliyojaribu kulinda hadhi na heshima ya nchi yake kutumia 30m usd na huku yeye akidai ni 2.3b usd
 
Haujaona shida pale mhalifu wa kivita aliyetumia 70b usd kuuwa watoto kumshauri nchi iliyojaribu kulinda hadhi na heshima ya nchi yake kutumia 30m usd na huku yeye akidai ni 2.3b usd
Tuna ijadiri hiyo video au tunajadiri mambo yote yanayo endelea mashariki ya kati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…