Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

Dah! Sasa anakimbia kuwaachia msala raia wake 🤔🤔🤔
 
Taarifa kutoka Aljazeera zimesema kuwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekimbia inchi kufuatilia taarifa za kiulinzi alizopewa na Mossad.

Amekimbia nchi huku ikiwa imebanika kuwa ameonekana akipanda ndege ikisadikika amekimbilia marekani, hii imekuja baada ya kuwepo uvumi kuwa leo jioni huenda Irani akaishambulia Israel kwa silaha kali za biometiki na hpersonic missiles.

Kujibu mashambulizi ya leo asubuhi ya Israel huko Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…