Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake



HII NDO TUMEKUBALIANA LEO TUTIANE MOYO AMESEMA SHEIKH KITINKU. NI POROJO ZA MUDA MREFU. KAMA KAKIMBIA SI SHIDA. IPIGWE ISRAEL. AU KAKIMBIA NAYO? IRAN INAPIGWA NA MADEMU NA WATU WANAUAWA WATAALAMU NA MAKAMANDA IRANI. IMEKUWA KAMA MWANAUME SHOGA. HANA NGUVU ZA KIUME. NA HAWEZI FANYA KITU ANGALAU AKITIWA KIDOLE NDO ANASIMAMISHA KWA SHIDA KISHA ANAJIMWAGIA.
 
Tuwasifu Iran au IDF ambao wameona hilo?

Jeshi la Iran intel zake ziko chini sana ukilinganisha na za Israel

Wao viongozi wao wanauliwa tu kama kuku broiler
 
We kibwengo nenda kaharishe huo uvundo
 
Jioni tena

Mnaanza mambo ya promise 3 tena.

Tunataka sasa.

Promise 3 napo mlitudanganya kakimbia. Na kama sikosei ni wewe huyuhuyu ulitudanganya๐Ÿ˜Ž
 
Hakuna kitu kama hii huko Aljazeera

On the contrary, Trump kapiga biti zito kwa Iran kwamba kichapo zaidi kipo njiani. Hii ni proof ya wazi kuwa USA ip nyuma ya hii jeuri ya Israel
 


MWAMBA HUYU HAPA.
Your browser is not able to display this video.
 
Katika hili niko na Iran maana nimeichoka amani na nitafurahi zaidi endapo nuclear weapons zikitunika.

Kuwa na nuclear weapons nyingi bila kuzitumua hukuna tofauti na kuwa na uume mkubwa usioweza kusimama kwa makini na kutunga mimba.
๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ