Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

🤣😂😃

Sasa akimbie nini
1. Drones zote zaidi ya 100 zimepopolewa
2. Mfumo wote wa anga Iran umeharibiwa
3. Mkuu wa jeshi katunguliwa
4. Rocket launcher chali

Sasa Netanyahu anakimbia nini hapo
Anajifurahisha huyo. Badala aseme ayatollah kakimbia
 
Mkuu kobazi utabishana nao kama kenge tu mpaka ayatollah aliwe kichwa labda atakuelewa
 
Hilo Bado halitoshi kum disable Iran mkuu.
Kwasababu silaha Bado anazo tena nyingi.
Akitoka hapo ni kufanya marekebisho na kufanya retaliation.
Lengo kuu kabisa kwa sasa sio kumdisable Chief. Ni pressure akubali deal na ajue ukaidi wowote utapelekea hali kuwa mbaya

Mossad wametisha sana na intelijesia yao kiwango cha juu. Shambulio la kuua Mkuu wa Majeshi na Makamandaa kadhaa ndani ya siku moja sio mchezo

Hata Ali Khamenei mwenyewe wanajua hadi kitanda chake kilipo na his days are numbered kama Netanyahu atatoa go ahead
 
General Commanders wote Hawa Tena wanasayamsi wa Neuk wanauawa ndani ya siku moja wewe unakuja kuandika Porojo
 

Attachments

  • 20250613_192456.jpg
    89 KB · Views: 17
Lengo kufikiwa ni gumu.
Kwasababu kitakachotokea ni Iran kufanya makusudi na kuendelea na mpango wa nuclear huku akijipanga kulipa kisasi.
2008 kama sijakosea Iran iliwahi kushambuliwa nuke sites zake na zikateketea zaidi ila haikuwarudisha nyuma kujipanga tena upya.
Yani hapo ni kuongeza mafuta kwenye moto.
Iran ni mtu wa visasi kama Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…