Netanyahu kashindwa kuwarudisha mateka kaanzisha mazungumzo na Hamas kuwarudisha mateka.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

Benjamin Netanyahu aliidhinisha mazungumzo ya Israel, ikiwa ni pamoja na Mossad na maafisa wa kijeshi, kuendelea na mazungumzo nchini Qatar na Hamas ili kupata makubaliano ya kuachiliwa kwa mateka walioko Gaza.

Baada ya kushindwa kuwapata mateka amebidi akubaliane na Hamas, katema bungo mwenyewe mwanzo alisema mateka wote watarudi sana hamna makubaliano yeyote ambayo tutafanya na Hamas, kiko wapi? Hamas wamesema Israel hata wafanyaje hawezi kuwatoa mateka wanadhani wakiendelea kuuwa rais wasokuwa na hatia Hamas watarudi nyuma
===============
Benjamin Netanyahu authorized Israeli negotiators, including Mossad and military officials, to continue talks in Qatar with Hamas to secure a deal for the release of captives held in Gaza.

View: https://x.com/presstv/status/1875138727653310860?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
The Prince; kama nakuelewa vizuri ni kwamba, unafurahia Hamas kuteka mateka wale wa Kiyahudi! So what about Wapalestina wanao uawa na IDF? Utekaji ule umesababisha the whole middle east kutokua na amani for miezi zaidi ya 15 sasa; hili nalo linakufurahisha? Kwa mtazamo wangu, hata Syria ya Assad imeanguka kwasababu hiyo hiyo, are you happy with all of these events bro?
 
Hapo ndio patamu....mwishowe utaskia HAMAS kashinda vita........

Sijui hizi akili zinafafanuaje

Ila maombi ni VITA viishe imekuwa mateso na maumivu sana hasa kwa Wapalestina
 
Tuombeane Aman

Sion maana yeyote ya kufurahia maafa ya wenzio

Tuachen roho za ushetani namna hiyo
Unapowaza wewe amani mwenzako hawazi hivyo. Amekuzwa kwenye uasi, chuki, visasi. Kibaya zaidi wanawafundisha na hawa wa huku kwetu mambo kama haya. Watu wameshindwa vitani wamepigwa wamechakaa anakuja hapa jukwaani anasema yeye aliyepigwa anaombwa wafanye negotiation. What a joke hata ukitumia sense ya mtoto uhalisia haupo kama kilichoandikwa.

Kwanini nyie watu haya mambo kila mahala mnayaweka kama ushindani? Haya hata kama ameomba negotiation ni kwa faida ya nani huoni kama na wewe unaponea humo? Tunaomba amani kwa wote haya mambo hayafai bhana.
 
Tuombeane Aman

Sion maana yeyote ya kufurahia maafa ya wenzio

Tuachen roho za ushetani namna hiyo
Wewe punguani kweli acha unafiki Netenyahu anavyouwa watoto Gaza mbona atukuoni humu kulaani huo ushetati wakiuliwa mabasha zako ndiyo unajifanya una uchungu.
 
Unapiwaza wewe amani mwenzako hawazi hivyo. Amekuzwa kwenye uasi, chuki, visasi. Kibaya zaidi wanawafundisha na hawa wa huku kwetu mambo kama haya. Watu wameshindwa vitani wamepigwa wamechakaa anakuja hapa jukwaani anasema yeye aliyepigwa anaombwa wafanye negotiation. What a joke hata ukitumia sense ya mtoto uhalisia haupo kama kilichoandikwa.

Kwanini nyie watu haya mambo kila mahala mnayaweka kama ushindani? Haya hata kama ameomba negotiation ni kwa faida ya nani huoni kama na wewe unaponea humo? Tunaomba amani kwa wote haya mambo hayafai bhana.
Uharo mtupu wanafiki wakubwa.
 
The Prince; kama nakuelewa vizuri ni kwamba, unafurahia Hamas kuteka mateka wale wa Kiyahudi! So what about Wapalestina wanao uawa na IDF? Utekaji ule umesababisha the whole middle east kutokua na amani for miezi zaidi ya 15 sasa; hili nalo linakufurahisha? Kwa mtazamo wangu, hata Syria ya Assad imeanguka kwasababu hiyo hiyo, are you happy with all of these events bro?
Ni huzuni tu mkuu. Watu wana psychology problem tuwaombee tu
 
Mkijirebisha kidogo tu, dunia itakua sehemu salama na amani. Anza wewe kaka zako kule juu watafuata.

Usiku mwema
Toa uharo….

Sataniyahu had lymph node metastasis, so he is awaiting radiation therapy, chemo that will last until he dies, and hormone therapy.

sowing and reaping.
 
Unapiwaza wewe amani mwenzako hawazi hivyo. Amekuzwa kwenye uasi, chuki, visasi. Kibaya zaidi wanawafundisha na hawa wa huku kwetu mambo kama haya. Watu wameshindwa vitani wamepigwa wamechakaa anakuja hapa jukwaani anasema yeye aliyepigwa anaombwa wafanye negotiation. What a joke hata ukitumia sense ya mtoto uhalisia haupo kama kilichoandikwa.

Kwanini nyie watu haya mambo kila mahala mnayaweka kama ushindani? Haya hata kama ameomba negotiation ni kwa faida ya nani huoni kama na wewe unaponea humo? Tunaomba amani kwa wote haya mambo hayafai bhana.
Mimi huwa nawahurumia watu wa Palestine, ukipita huko aljazera ndo utajua hawa watu wanateseka kwa namna gan

Wanapigwa mabomu wakiwa wamelala usingizin, hawana hili wala lile mara ghafula unajikuta huna mguu

Tuwaombee kwakweli inauma sana
 
The Prince; kama nakuelewa vizuri ni kwamba, unafurahia Hamas kuteka mateka wale wa Kiyahudi! So what about Wapalestina wanao uawa na IDF? Utekaji ule umesababisha the whole middle east kutokua na amani for miezi zaidi ya 15 sasa; hili nalo linakufurahisha? Kwa mtazamo wangu, hata Syria ya Assad imeanguka kwasababu hiyo hiyo, are you happy with all of these events bro?
Haya majitu yanamtumikia Shetani bro.
 
Mimi huwa nawahurumia watu wa Palestine, ukipita huko aljazera ndo utajua hawa watu wanateseka kwa namna gan

Wanapigwa mabomu wakiwa wamelala usingizin, hawana hili wala lile mara ghafula unajikuta huna mguu

Tuwaombee kwakweli inauma sana
Mtu yupo huku amekomalia kupiga umbea (Keyboard Warrior) tu uhalisia wanaujua walioko huko. Eti wao wenyewe ndio wanaomba ifanyike negotiation. Haya basi tufanye Netanyahu ndio anaomba usuluhishi wao wanajiona wametukuzwa wanafurahi wenyewe
 
WAPALESTINA vita ikisimama ni wazi Watashangilia Ushindi Je tuwe wakweli wameshindwa au Wameshinda mm nasema Wameshinda kwasababu ivi kuuu hiii ni Vita mtangazaji wa vita alikuwa Netanyahu iyo siku alisema ivi Tunaenda GAZA kuchukuwa raia wetu atutafanya mazungumzo na MAGAID HAMAS watachagua tu kujisalimisha au Kufa tutaakikisha akitokuwa na HAMAS tena Gaza, sasa tupime je Netanyahu kafanikiwa ayo ilituamini Netanyahu kashinda!!!!! Kuna wajinga wanataka kusema HAMAS imeshindwa kwa kigezo chs majumba mengi yamebomolewa au Vifo vya WAPALESTINA ukitumia kigezo icho utakuwa unakosea vita Sababu yake aikuwa kuuwa raia au kubomoa majengo ya GAZA Israel na IDF wkt wowote wakitaka kuuwa raia au kubomoa majengo wangeweza anawazuiya nani na HAMAS au GAZA awana AIR DEFENCE SYSTEM yoyote manake ni IDF tu kurusha ndege zao kutekeleza ayo ya raia au Majengo akuna kizuizi kwaiyo icho kigezo mana kipo ndani ya uwezo w IDF saaa yoyote wkt wowote!! Lkn hii Vita msingi ilikuwa kukomboa Mateka ambapo IDF wameshindwa adisasa Hamas bado wapo na wao IDF wamepoteza vijana wengi zaid ya 1000 japo inasemakama ni zaid ya 10000 lkn sasa wanafanya mazungumzo kitu ambacho Walikitaa wkt wa kutangaza VITA je kwann sasa Wasiwe washindi na Wameshinda Vita Bado ipo ikiwa wataweza kukomboa Mateka kuifuta Hamas au japo akuna upinzani kutokea kwao HAMAS apo Tutaamin Netanyahu kashinda pamoja na IDF,
 
Mazungumzo ya amani huku operation za kijeshi zinaendelea.
Kipigo kiko pale pale dhidi ya magaidi
 
Wanakumbi.

Benjamin Netanyahu aliidhinisha mazungumzo ya Israel, ikiwa ni pamoja na Mossad na maafisa wa kijeshi, kuendelea na mazungumzo nchini Qatar na Hamas ili kupata makubaliano ya kuachiliwa kwa mateka walioko Gaza.

Baada ya kushindwa kuwapata mateka amebidi akubaliane na Hamas, katema bungo mwenyewe mwanzo alisema mateka wote watarudi sana hamna makubaliano yeyote ambayo tutafanya na Hamas, kiko wapi? Hamas wamesema Israel hata wafanyaje hawezi kuwatoa mateka wanadhani wakiendelea kuuwa rais wasokuwa na hatia Hamas watarudi nyuma
===============
Benjamin Netanyahu authorized Israeli negotiators, including Mossad and military officials, to continue talks in Qatar with Hamas to secure a deal for the release of captives held in Gaza.

View: https://x.com/presstv/status/1875138727653310860?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Haya unayoyasema wewe ni UHARO kutoka kwa viongozi wa Magaidi wa Iran na wewe imeamua kufakamia huo UHARO wao. Israel toka Oct 07,2023 magaidi hao walipovamia Israel na wakateka,wakatesa,wakabaka na kuua watu wasio na hatia Israel haijawahi kukataa kufanya mazungumzo ya kuwarudisha wahanga nyumbani. Kinachofanyika sasa ni Ujinga wa kutaka kuwasafisha magaidi wa Hamas waonekane kuwa nao wana ubawu wa kuweza kupigana na Israel wakati sivyo kabisa wanajidanganya kwa kujipa matumaini ya bure kabisa. Kwa taarifa yenu tu mnaojikomba kwa waarabu kuwa Hamas mwisho wao umefika watake mazungumzo wasitake kipondo kiko pale pale tu. Kumbuka hata magaidi wa Hezboullah walikuwa hawataki kusitisha mashambulizi yao kwa Israel lakini baada ya Israel kuamua kuwashughulikia kikamilifu ilibidi wao wenyewe kuomba ceasefire bila kupenda baada ya kipigo cha Pager na Radio-Call kisha kuuwawa kwa kiongozi wao Hassan Nasraallah kisha kufyekwa kwa Chain of Command yote ya Hezbollah ndipo akili zikawajia za kukubali usitishwaji wa Mapigano huko Lebanon kusini. Kama Hezbollah wamepigishwa magoti na majeshi ya Israel hawa Hamas si kitu mbele ya Majeshi shupavu ya Israel ambayo hata Iran kagwaya na Assad wa Syria kapinduliwa yote hayo ni nguvu ya Israel. Ni aibu ku-quote kitu kutoka Aljazeera au PressTv station hizo ni wapambe wa Magaidi.
 
Attachments

  • v15044gf0000ctqo3i7og65gk91k31mg.mp4
    20.5 MB
Vita ni mbichi kabisa yaani!!

Mimi huwa nawahurumia watu wa Palestine, ukipita huko aljazera ndo utajua hawa watu wanateseka kwa namna gan

Wanapigwa mabomu wakiwa wamelala usingizin, hawana hili wala lile mara ghafula unajikuta huna mguu

Tuwaombee kwakweli inauma sana
Wa Palestina si wa kuwaonea huruma ni wanyama kasoro mkia tu Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas na raia wa kawaida walivamia Israel walipora mali,walibaka watu,waliteka na kuua watu kila tu ni Wayahudi walivuka mipaka mpaka wakaua na Watanzania wenzetu watu hao si watu kabisa ni wanyama kasoro mkia hivyo nawaomba tu askari wa Israel wa wapigwe mpaka wachakae maana hakuna namna ya kuwasaidia watu kama hao.
 
Kwenye hili songombimgo, mimi Yangu macho tu!!
 
Back
Top Bottom