Netanyahu kashindwa kuwarudisha mateka kaanzisha mazungumzo na Hamas kuwarudisha mateka.

Tatizo lako umefakamia UHARO wa waarabu na wewe umeshu kuwa Mwarabu-koko!! Toka lini mabomu yakachagua watoto pekee yaani bomu lipigwe liue watoto tu watu wazima linawaacha. Ama sivyo Hamas wanawafanya hao watoto kuwa Human-Shield kwa kuwafanya watoto kuwa chambo wafe ili wao wakazane kubwabwaja kwa kulisi Gizie Israel inaugurację watoto wakati wao wenyewe wanawafanya kuwa chambo. Huo ni ujinga wa Hali ya juu sana. Utakuta mtu sasa naye anashabikia UHARO huu naye anaanza kubwabwaja “Israel inaua watoto”
Wewe punguani kweli acha unafiki Netenyahu anavyouwa watoto Gaza mbona atukuoni humu kulaani huo ushetati wakiuliwa mabasha zako ndiyo unajifanya una uchun
 

Attachments

  • -6313838188657451493.mp4
    9 MB
Kwenye hili songombimgo, mimi Yangu macho tu!!
Kwa taarifa yako tu hapo hakuna songombingo Hamas anapigika Sawa Sawa tena bila chenga wengi wanauwawa na wengine kujisalimisha!!
 

Attachments

  • IMG_1332.jpeg
    96.6 KB · Views: 2
  • IMG_1292.jpeg
    87.1 KB · Views: 2
  • IMG_1295.jpeg
    316.1 KB · Views: 2
Nikurudishe Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walipovamia Israel na kuua watu 1,200 kuteka mateka 521 na kuwapeleka Gaza kwa hilo tu Hamas ndiyo waliotangaza vita kwa hiyo futa kauri ya kusema Netanyahu ndiye aliyetangaza vita. Unaonekana na wewe umefakamia UHARO wa waarabu kwa kuwatangaza kuwa wameshinda hii vita ungekuwa na Akili timamu ungeiangalia kwanza Gaza ikoje pili ungeangalia uongozi wa juu wa Hamas wako wapi naamini ungeelewa vizuri wanashinda au wanashindwa kwa kipondo wanachopata ni mwehu tu kama wewe ndiyo anaweza kupata Ujasiri wa kusema Hamas ameshinda hii vita.
 

Attachments

  • 1650253483180738826.mp4
    1.5 MB
  • IMG_1277.jpeg
    132.5 KB · Views: 2
  • IMG_1142.jpeg
    71.3 KB · Views: 2
  • IMG_1117.jpeg
    177.4 KB · Views: 2
Hivi wakifikia muafaka mateka wakarudi, atakayekuwa amepata hasara zaidi ni nani?
 
Hivi wakifikia muafaka mateka wakarudi, atakayekuwa amepata hasara zaidi ni nani?
Nina uhakika wale mateka watarudishwa wakiwa hai au wafu lakini ukweli u tabaki pale palę Hamas tutakuwa tumeizika rasmi na Gaza haitakuwa tena chini ya Magaidi wa Hamas. Kwa hiyo magaidi watakuwa wamepata hasara kubwa zaidi maana watakuwa Hawajafikia malengo yao ya kuipigisha magoti Israel.
 
Wewe punguani kweli acha unafiki Netenyahu anavyouwa watoto Gaza mbona atukuoni humu kulaani huo ushetati wakiuliwa mabasha zako ndiyo unajifanya una uchungu.
Kwa hiyo ameshindwa vita? 😂😂😂
 
Mtu yupo huku amekomalia kupiga umbea (Keyboard Warrior) tu uhalisia wanaujua walioko huko. Eti wao wenyewe ndio wanaomba imefanyike negotiation. Haya basi tufanye Netanyahu ndio anaomba usuluhishi wao wanajiona wametukuzwa wanafurahi wenyewe
Hawa Jamaa akili haziwatoshi kabisa wanaongea vitu ambavyo kwenye uhalisia haviko kabisa hata uvamizi wao wa Oct 07,2023 huko Israel walitegemea kweli kuishinda Israel wakawashirikisha magaidi uchwara wa Hezbollah na Houthi,waasi wa Syria na Iraq wakiamini wakiishambulia Israel pandę zote Israel wataipigisha magoti na kuacha kuwashambulia kumbe haikuwa hivyo IDF ilichokifanya ni kuendelea kuwapiga magaidi wa Hamas huku ikifanya mashambulizi ya kujihami huko Lebanon,Syria,Iraq,Yemen na kwa Bwana wao Iran. Hamas ilipotepeta ndipo mashambulizi yakaelekezwa kwa magaidi wa Hezboullah nao walipigwa kipigo cha mbwa-Koko Chain of Command ya Hezbollah yote iliangamizwa pamoja na kiongozi wao Hassan Nasrallah naye aliangamizwa bila huruma mwisho wa siku Hezbollah Hezbollah walipoona Maji yamezidi unga wakaomba mkataba wa kusitisha mapigano kitu ambacho Hassan Nasrallah alikuwa hakitaki kabisa kukisikia kwa huruma ya Israel wakapewa mkataba wa kusitisha map Iga o kwa masharti ya Israel kuingilia kati kama Hezbollah wataonyesha hawatekelezi vizuri masharti hayo. Baada ya magaidi wa Hezbollah kudoda sasa majeshi ya Israel yakarudi kumshughulikia Assad ambaye alikuwa Masada mkubwa kwa magaidi wa Hezbollah kwa maana Supply-Route ya silaha kutoka Iran zilikuwa zinapita Syria na kulikuwa na kiwanda cha kutengeneza maroketi ndani ya Syria ambacho kilijengwa chini ya ardhi na wanaume walikigundua na zaidi ya askari 120 wa Israel Walikivamia na kukiangamiza kabisa baadaye utawala wa Assad ulianguka hivyo kuziba kabisa mianya ya Hezbollah kupata silaha kutoka Iran kupitia Syria. Na hii inadhibitisha wazi kuwa Israel Ina mkono mrefu sana. Waarabu na Bwana wao Iran bado sana hawana ubavu wa kupigana vita na Israel!!!
 

Attachments

  • 6898002001722257208.mp4
    47.9 MB
Hakuna mtu hata mmoja humu nimeona ameeleza tukio la oct 7 kwa haki, mpaka leo uchunguzi wa tukio hilo unaendelea nchini Israel tukio limefanywa na Netanyahu 100% sema wanajua kucheza na media, hamas kweli waliingia lakini walikwenda kwenye Makambi, na walichukua wanajeshi wengi tu raia baadhi walikua karibu ya kambi IDF ndio waliolipua eneo la sherehe na wala hamas hawakujua kama siku hio kuna sherehe n wala ilikua haiwahusu. Hivyo conclusion ni kwamba Netanyahu Kaua raia wake hilo halina kupepesa ni kama tu tukio la 9/11 ili wapate sababu ya kuanzia vita na kufanya uharibifu
 
#Enemy_Media

The correspondent of the "Israeli" occupation army radio:

- This marks the ninth consecutive day Hamas has launched rockets from the Gaza Strip.

- Over the past nine days, Hamas has fired a total of 20 rockets, 14 of which were launched from the northern Gaza Strip.

#Military_Media
 
Jamaaa mbona unajivua nguo umekuwa shabiki lia lia akili kisoda!!!! Sasa nilichoandika mm umeshindwa kupangua hoja zaid umejionyasha ulivo mweupe kichwani!!!! Naww mla kande au!! Pangua hoja ukisema viongoz wa Hamas wamekufa au GAZA IMEKUWA MAGOFU ndio ushindi wa IDF kwaiyo NETANYAHU alipotangaza Vita alisema atauwa viongozi wote wa HAMAS kubomoa iyo GAZA!!! kuuwa viongozi wa ivi Vikundi ISRAEL +IDF aikuanza 7 October lkn ukiuwa uyu mwengine anachukua Nafasi ndio mana unaona viongozi wengi umetuma na picha wengi wamekufa lkn ilo sio ushindi UshaidI upo wazi Vita inaendelea izi siku3 tu IDF 7 wameuwawa vifaru vinne vimewashwa moto!! na mateka wapo kwenye mikono Salama ya viongozi wapya wa HAMAS kwaiyo Netanyahu alilijua ili ndio mana akasema Hamas ataiyangamiza!! umejiona ulivo mweupe akusema viongozi kasema Hamas pili umesema majengo nayo aikuwa kwenye kutangaza vita iyo miji imeangamizwa mala kadhaa uko nyuma kabla ya sasa lkn ilijegwa upya kwa pesa za misaada. Kama vile ISRAEL inavopokea pesa za misaada kuijenga ISRAEL kwaiyo ayo uliojibu ww sio mikakati ya Jesh IDF wala Netanyahu Netanyahu alitangaza mbele ya Dunia misingi 2 muimu kwao nayo kuwakomboa mateka na kuvunja kundi la HAMAS ima wajisalimishe au wauwawe! Kwaiyo kiakili apa IDF aijafanikiwa lkn ipo vitan kuendeleza agenda yao na Hamas kadhaaa wameuwawa iyo sawa lkn awajafanikiwa kukamilisha misheni yao so ikiwa vita itasimama ktk mazingila aya kwanini WAPALESTINA wasishangilie ushindi ???? ikiwa leo mwez 15 vyote Viwili avijafanikiwa akajaribu japo afanikiwe moja kwa kutangaza Kuwalipa pesa dollars anaowaita MAGAID kwa kila kichwa kimoja watakachoachia Dollars nyingi tu. Lkn wapi akuna alietaka pesa zake!!!!!
 
Toa uharo….

Sataniyahu had lymph node metastasis, so he is awaiting radiation therapy, chemo that will last until he dies, and hormone therapy.

sowing and reaping.
Hata wasio kama Benja wanapata Maradhi!
 
HONGERA SANA kwa Hamas kwa USHINDI MNONO

Kitu pekee ninachokiamini ni kwamba GAZA will never be the same again
 
HONGERA SANA kwa Hamas kwa USHINDI MNONO

Kitu pekee ninachokiamini ni kwamba GAZA will never be the same again
Aijalishi ndugu majengo yatajengwa ata baada miaka 20 lkn Mpalestine ayupo Tayali kuomba poooo ikiwa awakuombo pooooo kipindi kile vijana wote wa kipalestina walikuwa wanapigana wao wana mawe tu uku IDF wanamitutu Bila aibu IDF ilikuwa inawapiga shaba watoto!!!! lkn akuna kuombo pooooo leo 7 October adi sasa IDF wameuwawa kwama Mia kupitia mtutu unadhani kuna ambae anajilaumu ktk mpalestine ni sherehe kwao Adui yao kazika watu kibao panga akilini mwako makaburi 2000 viwanja vya mpira vingapi ili uzike watu 2000 utajilaum ww muoga wa kufa.
 

Umeonyesha wazi wewe ni Terrorist Sympathizer hata hivyo hakuzuii wewe kuona ukweli ulivyo pamoja na wewe kujipa moyo na kujifariji kwa uongo. Kuoanisha Oct 07,2023 na Sept 11 hiyo ni Narrative ya waarabu hasa wanaposhindwa kwenye uwanja wa vita mara zote wanakuja na visingizio lukuki ikiwemo Israel inasaidiwa na Marekani! Israel imają watoto!! Israel inabomoa majengo ya shule,Hospitali na Nyumba za Ibada!!.. kitendo
inaonekana wazi kuwa hujui unachoongea na unaongea kushabikia usichokijua na hujui maana ya vita. Magaidi wa Hamas walifanya ujinga na upumbavu kuivamia Israel Waki juma wazi kuwa Israel si Level yao matokeo yake Hamas na wafuasi wao sasa wanajutia kufanya upumbavu huo ambao maelfu ya wapalestina wamepoteza maisha yao. Nakushangaa kuongelea watu 2,000 wakati huo huongelei mizoga ya watu 45,000 na hujui ni viwanda I ngapi vya Moira unaweza Kuziak mizoga hiyo. hapo tu inanionyesha ni jinsi gani ulivyoishiwa na hujui lolote kuhusu Magaidi wa Hamas na Israel kwa ujumla.
 
1.Hassan Nasrallah
2.Ismail haniyeh
3.Yahaya Sinwar
4.Fuad shukr
5.Ibrahim kubais
6.Mohamed deif
7.Saleh Auri
9.Mohamed Affif
10.Hashim safiedine
11.

Tuongezee list ya makamqnda waliotangulia mbele ya haki, wapumzike wanapostahili!
 
1.Hassan Nasrallah
2.Ismail haniyeh
3.Yahaya Sinwar
4.Fuad shukr
5.Ibrahim kubais
6.Mohamed deif
7.Saleh Auri
9.Mohamed Affif
10.Hashim safiedine
11.

Tuongezee list ya makamqnda waliotangulia mbele ya haki, wapumzike wanapostahili!
Walivyo wajinga na wapumbavu wanajitangaza eti wanashinda vita!!
 

Attachments

  • IMG_0585.jpeg
    223.3 KB · Views: 2
  • IMG_0186.jpeg
    167 KB · Views: 2
  • IMG_0182.jpeg
    78 KB · Views: 2
  • IMG_0114.jpeg
    215.2 KB · Views: 2
  • IMG_0072.jpeg
    109.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…