Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

Kuna lMandunduka Yakaanza mshangilia mnyanzimungu wao

Hapo nikajua humu JF ndo kuna makubwa ya mandunduka ambayo hayapatikani mahari popote isipokuwa Buza, Tandika kaburi 1 Tandale kwa tumbo, kigogo luhanga bonyokwa, matosa
 
Usicheze na nabii Netanyahu
 
Wakiristo wa jf mtapata tabu sana dhidi ya uislam na waislam
 
"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Manasara (Wakristo), mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uongozi wa Mwenyezi Mungu ndio uongozi wa haki. Na ikiwa utawafuata matamanio yao baada ya yale yaliyokufikia katika elimu, hutapata mlinzi wala msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu." (Surah Al-Baqarah, 2:120).
 
Egypt, Turkey, na nchi nyingine nyingi tu za kiislamu zimejiweka pembeni kwenye hiyo migogoro.

Wanajua ni ujuha kuanza kuharibu uchumi wa nchi yako ili kuwapigania hayo mfuasi ya allah
Aya ya mwisho ina Mihemko na hisia kali za kiimani 😁
 
Hebu weka ule mstari wa bikira na pombe mjomba kuna jamaa haamini kama Allah anapika pombe.
 
Bado hajamfikia Fraun alikuwa zaidi yake na watu wakimshangilia kushinda unavofanya wewe,mfano mdogo Magufuli alimchakaza Lisu nayeye alikuwa akishangiliwa na kuitwa mwamba, au umesahau,
 
Uzi bila pichaa na ushaidi usio na mashaka ni uzushuu
 
huyo BIBI yako anapewa jeuri na Marekani tu, bila msaada wa Marekani pamoja na vibaraka wake ni mchumba tu kama wewe. kama yeye ni mbabe kwa NINI kashindwa kukomboa mateka kutoka kwa wanamgambo (sio wanajeshi) wa HAMAS
 
Waparestina❌
Wapalestina☑️
Askali❌
Askari☑️
 
Kwani ni natanyahu au marekan na ulaya yote
 
huyo BIBI yako anapewa jeuri na Marekani tu, bila msaada wa Marekani pamoja na vibaraka wake ni mchumba tu kama wewe. kama yeye ni mbabe kwa NINI kashindwa kukomboa mateka kutoka kwa wanamgambo (sio wanajeshi) wa HAMAS
Amewaacha mkae nao ili aendelee kuwanyoosha!

Maana anhewakomboa mapema angekosa sababu ya kuwatokomeza magaidi
 
Huyu mwamba Ni baraaa🔥🔥,kumbe Putin ni useriuzi tu Benja vitendo haswa maneno kidogoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…