Duh..Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah!
Israel in Secret Talks to ‘Resettle’ Palestinians in Congo: Report
Saudi Arabia has also reportedly been floated as an option.www.thedailybeast.com
Basi kwa taarifa tu ao Maashkenazi au wanajiita wayahudi kipindi kipindi wanaanza movement zao miaka 1900+ lilitoka pendekezo toka serikali ya Uingereza kuwa watawapatia eneo Uganda hiyo ilikuwa mwaka 1903 na baadae mwaka 1905 wakata kuwapeleka Argentina! hii inaitwa (The Patagonian Plan) embu jaribu kuwaza kama ndiyo wangekuwa Uganda hapo! si tungeitwa sote ni magaidi? basi na wao wanajaribu kufanya kilekile walichofanyiwa wao miaka hiyo kwa kutafutiwa eneo hapo ndani ya Palestina mwaka 1919, na hatimae mwaka 1948 wakapewa Taifa rasmi.Wakiletwa Congo baada ya Miaka kumi watasema Kongo ni yao na Machifu akina Manuel 111.
Afonso.
Lukeni Iua Nimi etc walikuwa waislam,bora wabaki uko uko.
Mambo ni inachenka sana.Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah!
Israel in Secret Talks to ‘Resettle’ Palestinians in Congo: Report
Saudi Arabia has also reportedly been floated as an option.www.thedailybeast.com
Hilo la kuwahamisha Wapalestina kwenye mataifa mengine ili kutwaa ardhi yao limekuwa tamanio la wazayuni kwa muda tu,ila ukweli ni kuwa haiwezekani.Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah!
Israel in Secret Talks to ‘Resettle’ Palestinians in Congo: Report
Saudi Arabia has also reportedly been floated as an option.www.thedailybeast.com
Naunga mkono hoja😀😅, comments za kwenye huu uzi zinachekesha sana.
Pamoja Sana mkuu,Naunga mkono hoja
Basi kwa taarifa tu ao Maashkenazi au wanajiita wayahudi kipindi kipindi wanaanza movement zao miaka 1900+ lilitoka pendekezo toka serikali ya Uingereza kuwa watawapatia eneo Uganda hiyo ilikuwa mwaka 1903 na baadae mwaka 1905 wakata kuwapeleka Argentina! hii inaitwa (The Patagonian Plan) embu jaribu kuwaza ndiyo wangekuwa Uganda hapo! si tungeitwa sote ni magaidi? basi na wao wanajaribu kufanya kilekile walichofanyiwa wao miaka hiyo kwa kutafutiwa eneo hapo ndani ya Palestina mwaka 1919, na hatimae mwaka 1948 wakapewa Taifa rasmi.
Mwaka 1971 Uingereza ilipata mpango wa siri wa Israel kutaka akuwahamisha raia wote wa Gaza na kuwapeleka Misri katika Penusula ya Sinai, ila mpango uo uligonga mwamba baada ya Misri kukataa! na ndiyo maana ili vuguvugu la October 7 kuanza ulisikia maneno kama Misri inakataa kupokea wakimbizi toka Gaza! najua hukujiuliza kwanini basiu jua sababu ni kwamba Israel anataka ashike eneo zima la Gaza na kuwafukuza wapalestina wote pale Gaza.
View attachment 2861079
Huko huko.Na vita vyote Palestina bado ina miji kizuri sana, waje Tanzania tuwape maeneo ya kujenga ili waboost uchumi wetu, vigezo na masharti kuzingatiwa.
1. Kuheshimu imani za wengine.
2. Kutokua na ubaguzi wowote
3. Kuheshimiana na kuvumiliana
Naomba serikali yetu pendwa iwape urai wa Tanzania, kule America kusini kuna wapalestina wengi hawana shida na mtu wengine ni wakristo na wengine Waislam, wamejaa Argentina, Brazil, Chile, Bolivia, Venezuela, achana na wanaharakati akina Rashida wa USA.