Bora wawe waislamu peke yao 100% kwa sababu uislamu is not compatible with other society. Mara nyingi lazima kuwe na mikwaruzano sana ya waislamu kutaka kupangia watu jinsi ya kuishi.
Mfano angalia hapa Tanzania, waislamu kung'ang'ania kuchinja, kulazimisha chakula flani kwa kua wao hawali basi kisiuzwe pamoja na vyakula vingine kisa tu wao hawali mfano bucha za nyama ya nguruwe.
So wahindi wako sahihi, waislamu ni watu ambao ni ngumu sana ku blend in na tamaduni nyingine kwa urahisi, mara nyingi hua lazima kuwe na migogoro.