Netanyahu kwenye mazungumzo ya siri kuwahamishia raia wa Gaza Congo!

Huwa ninajiuliza, waislamu wote wanaitana ndugu ktk imani, iweje machafuko yanapotokea mataifa ya wala kitimoto na ndizi huwapa hifadhi huku wale wavaa kobazi wenzao wakiwatelekeza?


MK254 na Maghayo

Kwa kuwa Israel ni Taifa la kidemokrasia na halina ugomvi na raia wa kawaida basi lingeonyesha mfano kwa kuwachukua wakimbizi wa kipalestina ili idili na HAMAS.
 
Wakiletwa Congo baada ya Miaka kumi watasema Kongo ni yao na Machifu akina Manuel 111.
Afonso.
Lukeni Iua Nimi etc walikuwa waislam,bora wabaki uko uko.
Wahindi husema more Muslims more problems. Wao kanuni yao ni kwamba muslims should not be more that 30% of the population otherwise you are fucked.
 
Kwa kuwa Israel ni Taifa la kidemokrasia na halina ugomvi na raia wa kawaida basi lingeonyesha mfano kwa kuwachukua wakimbizi wa kipalestina ili idili na HAMAS.
Hao raia nao wana matatizo, wakiambiwa njoo huku au nenda kule kwa ajili ya usalama wako wengine huwa wanakaidi, wakiangukiwa na kitu kizito makelele yanaongezeka.

Mfano leo kuna kiongozi mmoja wa kijeshi wa Israel amewaomba raia wema wa Palestina watoke Ghaza waende upande wa Egypt wapishe operation kimbunga walau kwa wiki moja tu, lakini mwitikio ni hafifu.
 
Ni upuuzi mkubwa kupigania ardhi ambayo wote mnakufa mnaiacha.

Kipindi nakua nilikuwa nikiamini mwanadamu ni kiumbe mmoja smart sana. Lakini nimeishia kubaini mambo ni opposite kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unadhani kama wanataka kuja watakuambia hivi vigezo ni vigumu? Mbona wataitikia tena kwa kuapa! Ila wakishakaa na kuzoea ndiyo utajua kuwa umeliwa!
 
Hilo la kuwahamisha Wapalestina kwenye mataifa mengine ili kutwaa ardhi yao limekuwa tamanio la wazayuni kwa muda tu,ila ukweli ni kuwa haiwezekani.
Nadhani shida kubwa ipo kwenye “preamble” ya Hamas. Fuatilia hata “article 13” inasema hawataki “peaceful solution” zaidi ya vita.

Wao siyo waumini wa “two states”, na wao wanachotaka na ambacho wamejiapiza, ni kuifutilia Israel mbali. Hilo linawashtua sana Israel…

Ndiyo maana waligombana na Fatah maana wale walikuwa wameshaanza kukubaliana na “a two states solution”
 
Hivi unadhani kama wanataka kuja watakuambia hivi vigezo ni vigumu? Mbona wataitikia tena kwa kuapa! Ila wakishakaa na kuzoea ndiyo utajua kuwa umeliwa!
Uzuri ni kwamba huwa wanaongezeka kwa haraka sana, ndani ya miaka 20 watakuwa wengi kuliko Watanzania halisi na hapo sasa watanzania halisi wataambiwa watoke wakatafute nchi yao.
 
Tanganyika waislam ndio waliowafanya wakiristo wajitawale. Wakati waislam wanapigania uhuru wakiristo wakishirikiana na Wajerumani kupinga wakidhani wanawakomoa waislam.
Waislamu waliwafanya wakristo wajitawale? kivipi?
Unaleta hekaya za abunuasi mnazosimuliana misikitini na hapa JF zikichagizwa na wazee wa kkoo mtu na dada yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…