ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Israel ni ileile ya Isaka, Yakobo na Ibrahim. Hawa watu ni wapiganaji na ni wapenda Vita tangu hapo mwanzo. Sina haja ya kueleza hayo
Ila nataka kueleza mfanano wa Benjamin Netanyahu na Mfalme Daudi wa Israel. Jamaa ni mtu wa kabila LA Yusufu.
Daudi akiwa kijana mdogo ujasiri wa Mambo ya Vita ulionekana. Wengi tunajuwa aliua wanyama wakali kama Simba akiwa mchungaji wa kondoo
Sio hapo tu, Daudi alimuua Giant Goliath kwa ujasiri mkubwa Sana.
Goliath pamoja na tambo zote, Daudi alimuangamiza.
Sasa Netanyahu Benjamin Ana roho ileile ya Daudi. Na yeye akiwa kijana mdogo miaka ya sabini yeye na wenzie walifanya operation kubwa nchini Uganda ya kuwaokoa mateka wa ki Israeli.
Operation ile ikifanyika dk 90 tu watu wakafanya yao. Wa Israel walijaribu kubadilisha na kumtoa Netanyahu, wanajikuta wanamrudisha tena.
Netanyahu ni Mpambanaji, jasiri, mwenye malengo, mwenye IQ kubwa, msomi.
Roho ileile ya Mfalme Daudi, IPO kwa Netanyahu