Hii vita ilikwisha tabiriwa na manabii wakuu Danieli na Ezekieli. Kinachosubiriwa kutokea rasmi kwa vita hii na matokeo yake ili ile nguvu ya uasi ipate ruhusa ya kuitawala dunia kwa muda wa miaka saba.
Vita hii si ya kuishangilia hata kidogo. Itakwenda kubadirisha mifumo yote ya maisha duniani kote. Mifumo yote ya kiuchumi, kisiasa, kijamii ikiwemo hata ya kidini itaathirika.
Ukiona makubaliano mapya yamefikiwa kati ya Israel na mataifa mengine ya Kiarabu katika eneo hili la Middle East, na huku Israel ikipewa haki ya kujenga hekalu la tatu katika eneo la Mount Moria. Bssi tambua ya kwamba muda umekwisha kabisa.
Muda ukaribu kwa wote wale wanao muabudu Mungu katika roho na kweli kuingia katika taabu, shida, na mashaka mengi. Wale wenye kumkiri Kristo kama Bwana na Mwokozi wao watapitia katika dhiki kuu.
Na dini ya Kiislamu itasimama kama dini moja na ya kipekee ya kidunia, na Mahdi akiwa ndiye mtawala wa dunia, yaani Mpinga Kristo, ambaye atalazimisha wote wakaao duniani wamuabudu yeye kama ndiye mungu, huku akitenda miujiza mikubwa na huku akiwa ndiye mtawala pekee mwenye madaraka na mamlaka ya juu kabisa ya dunia yote nzima.
Beware!