Netanyahu, mfano wa mfalme Daudi, ametoka kabila la Yusufu

Mimi nipo na baba yake netanyahu,ni mpoland,Sina haja na ukoo wa Yusufu
Sasa kama huna haja na ukoo wa Yusufu. Huna hoja kwenye thread hii maana inahusisha ukoo wa Yusufu. Na Netanyahu ni Muyahudi na wazazi wake ni wayahudi waliokuwa wakimbizi nchini Poland.

Netanyahu siyo Mpoland ni muyahudi. Soma Historia achana na akili za Gen Z
 
Myahudi awe na jina la kipoland!?..alilazimishwa kuwa na jina Hilo!?..ACHA kutetea ujinga,Kuna mazungu yalibadili dini na kuwa mayahudi ili yaoe wanawake wa kiyahudi
 
Hii vita ilikwisha tabiriwa na manabii wakuu Danieli na Ezekieli. Kinachosubiriwa kutokea rasmi kwa vita hii na matokeo yake ili ile nguvu ya uasi ipate ruhusa ya kuitawala dunia kwa muda wa miaka saba.

Vita hii si ya kuishangilia hata kidogo. Itakwenda kubadirisha mifumo yote ya maisha duniani kote. Mifumo yote ya kiuchumi, kisiasa, kijamii ikiwemo hata ya kidini itaathirika.

Ukiona makubaliano mapya yamefikiwa kati ya Israel na mataifa mengine ya Kiarabu katika eneo hili la Middle East, na huku Israel ikipewa haki ya kujenga hekalu la tatu katika eneo la Mount Moria. Bssi tambua ya kwamba muda umekwisha kabisa.

Muda ukaribu kwa wote wale wanao muabudu Mungu katika roho na kweli kuingia katika taabu, shida, na mashaka mengi. Wale wenye kumkiri Kristo kama Bwana na Mwokozi wao watapitia katika dhiki kuu.

Na dini ya Kiislamu itasimama kama dini moja na ya kipekee ya kidunia, na Mahdi akiwa ndiye mtawala wa dunia, yaani Mpinga Kristo, ambaye atalazimisha wote wakaao duniani wamuabudu yeye kama ndiye mungu, huku akitenda miujiza mikubwa na huku akiwa ndiye mtawala pekee mwenye madaraka na mamlaka ya juu kabisa ya dunia yote nzima.
Beware!
 
The name "Netanyahu" is of Hebrew origin and is Jewish. It is a patronymic surname, meaning "God has given"
 
Benjamin ni jina la Kipoland?
Baba yake Benjamin netanyahu ni mpoland,jina lake benzion,alizaliwa Poland 1910, Zionism movement akahamia Palestine/Israel akabili ubin na kujipa netanyahu,ndiyo akamzamzaa Benjamin netanyahu 1940s,niliweka link hukusoma ukaleta ujuaji
 
Daniel, Revelation na Ezekiel ni Apocalyptic Books. Ni vitabu vilivyoandikwa mbadala wa vitabu vya kinabii. Ni sawa na vitabu vya kusadikika na Utopia Stories
 
Baba yake Benjamin netanyahu ni mpoland,jina lake benzion,alizaliwa Poland 1910, Zionism movement akahamia Palestine/Israel akabili ubin na kujipa netanyahu,ndiyo akamzamzaa Benjamin netanyahu 1940s,niliweka link hukusoma ukaleta ujuaji
The name "Netanyahu" is of Hebrew origin and is Jewish. It is a patronymic surname, meaning "God has given"

Majina ya poland ni Slavic names

Mfano Lewandowski, Kowalski, Wojciechowski, Dmitriev nk.
Hilo Netanyahu is a Hebrew name.
 
Also soma historia ya wayahudi also soma kuhusu Russia Empire na uhusiano wa Jews. During Catherine II, the Tzarina of Russia
 
Netanyahu anazidi kutoa Dozi kwa Magaidi wote kwa mpigo.😆
 
Baba yake netanyahu ni bwana benzion mileikowsky,mzaliwa wa Poland 1910,vuguvugu la uzayuni lilipoanza akahamia Palestine na kujipa jina la netanyahu na kuachana na jina lake la kipoland,ni mzungu,Hana uhusiano wowote na hiyo nchi Wala ukoo wa Yusuf
Kwahiyo tukuamini wewe au mhusika mwenyewe ben netanyahu???
 
Amen Taifa la Israel Mungu alilichagua na ana malengo makubwa na taiga hilo, Shambulizi lolote dhidi ya Taiga LA Israel in shambulio dhidi ya Mamlaka ya Mungu! Kamwe Mungu hatakaa kimya .
 
The name "Netanyahu" is of Hebrew origin and is Jewish. It is a patronymic surname, meaning "God has given"

Majina ya poland ni Slavic names

Mfano Lewandowski, Kowalski, Wojciechowski, Dmitriev nk.
Hilo Netanyahu is a Hebrew name.
Muwe mnasoma na kuelewa,babaake netanyahu alijipa jina netanyahu baada ya kuhamia Israel toka Poland,Mimi mnyamwezi nikihamia Saudi Arabia na kujiita Salman siwi msaudi arabia
 
Nimesema Benjamin Netanyahu ametokea kabila LA Yusufu. Soma na kuelewa usikulupuke
The late Lt Netanyahu wa operesheni ya Entebe Ug siyo huyu, bali ni kaka yake aliyepoteza maisha pekee kwenye tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…