ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David.
Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40.
Na ni nadra Sana David alipigwa.
Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel kuna nyota na ile nyota Wameiita NYOTA YA DAUDI
Roho ileile, ujasiri uleule, Uhodari uleule wa mfalme David Umeoneka kwa Benjamin Netanyahu.
Netanyahu amepigana kwa mafanikio makubwa na maadui zake. Tumeona Wafilisti, Waamedi, Waajemi, Wamisri, Waashuru Wakianguka mbele ya Israel kutokana na Uhodari wa mfalme David mpya.
MUNGU IBARIKI ISRAEL🇮🇱