Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sote kwa nguvu moja bila kujali itikadi zetu mniunge mkono ninapoa. WITO kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyau awaonee huruma ndugu zetu wa Mashariki ya kati na hivyo asitishe vita.
Netanyau hao ndugu zetu ni wanyonge kwako na hakuna namna wanaweza kushindana nawe. Netanyau ukiendelea hivi utafuta kizazi chao chote na ikitokea hivyo mwenyezi Mungu hatokusamehe.
Netanyau watu hao hata uwapige vipi watakuja tu kwani wanaamini kwenye itikadi zao.
Netanyau binafsi jamii hiyo siikubali kabisa hata hivyo huruma ya kibinadamu imenijia nikuombe uwafanyie wepesi
Wale wote wanaokubaliana nami kwenye comment tafadhali weka alama ya NDIYO kuashiria msimamo wako
Naamini tukipaza sauti zetu zitasikika hadi huko Yerusalemu.
Aksanteni sana na Mungu awabariki.