Netanyau afanya ziara mpaka wa Lebanon, asema dunia imevutiwa na uwezo na uwezo wa kijeshi wa Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon

Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika kuwashughulikia magaidi.

Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon asubuhi, hofu yatanda kwa magaidi ya Hezbollah

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Netanyahu visits Lebanon border, says reality being changed

By Lazar Berman
Prime Minister Benjamin Netanyahu, left, with Maj. Gen Ori Gordin during a meeting on October 6, 2024. (PMO)

Prime Minister Benjamin Netanyahu visited the Lebanon border for a situation assessment with IDF Northern Command head Maj. Gen. Uri Gordin and division commander Brig. Gen. Moran Omer, the premier’s office says.

“A year ago we suffered a terrible blow,” Netanyahu said during the visit, according to the Prime Minister’s Office. “Over the past 12 months, we are changing reality from end to end.”

The premier says the international community has been impressed with Israel’s military might.

“The whole world is astonished by the blows you inflict on our enemies,” he tells troops of the 36th Division.
 
Mbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
 
Subiri tumalizie kuwapa mimba hezibolla baada ya hapo tunakuja kuwatia mimba za mapacha.

Tena usiku wa Leo tutawatembelea kuwakahua sehemu zenu kama mmenyoa ??
 
Mbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Inawezekana haujui jinsi ramani ya nchi hizo ilivyokaa
 
Hakika hata Mimi nimeshangaa, baada yakugundua Israel hamna kitu inapopambana na nchi kama Iran, baada ya kuona kumbe zile Iron dome Huwa ni propaganda tu nahazifanyi kazi kwa nchi jeuli kama Iran. Na licha ya mbwembwe zote za wazayun hawawezi ishambulia Iran bila kusaidiwa na USA.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon

Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika kuwashughulikia magaidi.

Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon asubuhi, hofu yatanda kwa magaidi ya Hezbollah

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Netanyahu visits Lebanon border, says reality being changed

By Lazar Berman
Prime Minister Benjamin Netanyahu, left, with Maj. Gen Ori Gordin during a meeting on October 6, 2024. (PMO)
Prime Minister Benjamin Netanyahu, left, with Maj. Gen Ori Gordin during a meeting on October 6, 2024. (PMO)

Prime Minister Benjamin Netanyahu visited the Lebanon border for a situation assessment with IDF Northern Command head Maj. Gen. Uri Gordin and division commander Brig. Gen. Moran Omer, the premier’s office says.

“A year ago we suffered a terrible blow,” Netanyahu said during the visit, according to the Prime Minister’s Office. “Over the past 12 months, we are changing reality from end to end.”

The premier says the international community has been impressed with Israel’s military might.

“The whole world is astonished by the blows you inflict on our enemies,” he tells troops of the 36th Division.
Mwamba wa dunia huyo
 
Hakika hata Mimi nimeshangaa, baada yakugundua Israel hamna kitu inapopambana na nchi kama Iran, baada ya kuona kumbe zile Iron dome Huwa ni propaganda tu nahazifanyi kazi kwa nchi jeuli kama Iran. Na licha ya mbwembwe zote za wazayun hawawezi ishambulia Iran bila kusaidiwa na USA.
Kijana wa mnyazi katika ubora wako
 
Back
Top Bottom