Na mbona Ayatollah amefungiwa mapangoni?Mbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Lakini huyo Israel pia ni gaidi.Israel inabidi ianzishe vyuo vya kijeshi namna ya kumaliza tatizo la kigaidi. Dunia nzima iende pale kujifunza kupambana na ugaidi [emoji848][emoji1134]
Unahis Kila mtu mwehu kama ww na mashehe wenu ? Ameenda kwenye boarder na sio ndani ya LebanonMbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Ukimpiga Hesbollah na Hamas tayari unakuwa umempiga Iran moja Kwa moja, ndio maana anapigwa Hamas na Hesbollah ila anayekasirika na kulipa ni Iran. Israel Kwa kulitambua hilo ndo maana anayazibua mno ili aliyewatuma hadi ajitokezeMbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Your wish is his command. Utapata tu Hamas walitaka wakapata, Houthi walitaka wakapata Hezbollah walitaka wanapata sasa hivi Iran too unataka wewe watakipata.. nenda katawadhe then uje uendelee kuandamana.Mbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Mkuu. Sasa wa kumfuta ni nani?Lakini huyo Israel pia ni gaidi.
Dini ya Mnyaazi + Yahudi wote wanapaswa kufutwa katika uso wa dunia.
Ayatollah wa Iran hajawahi kutoka Tehran Wala nje ya IranMbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Kelele nyingi nani anaye msifu labda wale freemasonry kwa kuwauwa watoto na wanawake na kuvunja majumba.Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha. Waziri Mkuu Benjamin Netanyau atembelea mpaka wa Israel na Lebanon
Asema ulimwengu wote umevutiwa na kushangazwa na uwezo mkubwa ulionyeshwa na IDF katika kuwashughulikia magaidi.
Soma Pia: Jeshi la Israel IDF laanzisha mashambuluzi ya nguvu nchini Lebanon asubuhi, hofu yatanda kwa magaidi ya Hezbollah
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu visits Lebanon border, says reality being changed
By Lazar Berman
Prime Minister Benjamin Netanyahu, left, with Maj. Gen Ori Gordin during a meeting on October 6, 2024. (PMO)
Prime Minister Benjamin Netanyahu visited the Lebanon border for a situation assessment with IDF Northern Command head Maj. Gen. Uri Gordin and division commander Brig. Gen. Moran Omer, the premier’s office says.
“A year ago we suffered a terrible blow,” Netanyahu said during the visit, according to the Prime Minister’s Office. “Over the past 12 months, we are changing reality from end to end.”
The premier says the international community has been impressed with Israel’s military might.
“The whole world is astonished by the blows you inflict on our enemies,” he tells troops of the 36th Division.
Ukipima hadhi ya jeshi la isreli before vita ya gazi na baada utaona wameshuka kww asilimia zaidi 60 hivi mpaka wazungu wwnashangaa jamaa anavyopigana kama mwehu hivi.. halafu wwnajiita civilized country with wester valueKelele nyingi nani anaye msifu labda wale freemasonry kwa kuwauwa watoto na wanawake na kuvunja majumba.
Jeshi linalo wafunga raia wa Palestine mbele ya magari yao ya kivita ili wasiuliwe na Hamas hilo kweli ni jeshi 😄Ukipima hadhi ya jeshi la isreli before vita ya gazi na baada utaona wameshuka kww asilimia zaidi 60 hivi mpaka wazungu wwnashangaa jamaa anavyopigana kama mwehu hivi.. halafu wwnajiita civilized country with wester value
Huwa nawashangaa watu mnaotoa kauli hizi. Ni sawa na kusema bila Mayele msingetufunga. Sasa maana ya nguvu ya timu ni nini? Iran imezuiwa kusaidiwa na Marekani?... wazayun hawawezi ishambulia Iran bila kusaidiwa na USA.
Subiri tumalizie kuwapa mimba hezibolla baada ya hapo tunakuja kuwatia mimba za mapacha.
Tena usiku wa Leo tutawatembelea kuwakahua sehemu zenu kama mmenyoa ??
Tuliambiwa Hezbollah ni moto wa kuotea mbali, mara hii imekua kikundi kisicho na silaha?Mbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Aende Iran kwani wameshavamia ?Mbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaume
Mbona haendi Iran. Kama yeye kidume kweli aende Iran hapo kama hajarudi kwenye jeneza. Kazi yake kuonea vikundi vya mgambo wasio hata na kifaru aende kuvamia Iran kama kweli yeye mwanaumeu
Ule ulikuwa uwongo mkubwa. Si Netanyahu wsla ndege yake iliguswa na kitu chochote. Houthis walirusha makombora eti walitaka kuipiga ndege ya Netanyahu wakati akitoka USA, lakini makombora yote yalidunguliwa kabla ya kufika anga la Israel.Watoto wa mnyazi si walisema Netanyau alijeruhiwa 😂
Unajidanganya sana. Yawezekana uwezo wako wa kufuatilia mambo ni mdogo sana.Hakika hata Mimi nimeshangaa, baada yakugundua Israel hamna kitu inapopambana na nchi kama Iran, baada ya kuona kumbe zile Iron dome Huwa ni propaganda tu nahazifanyi kazi kwa nchi jeuli kama Iran. Na licha ya mbwembwe zote za wazayun hawawezi ishambulia Iran bila kusaidiwa na USA.
Munyazi Mungu( ala subaala watala)Teteee!
Mkuu ongezea Mnyazi nani?!
Linapokuja suala la Israel Huwa akili zako sijui zinaenda wapi 🤣.Unajidanganya sana. Yawezekana uwezo wako wa kufuatilia mambo ni mdogo sana.
Yaani makombora zaidi ya 200, lakini yaliyofanikiwa kutua ardhini ni 3 tu, mengine yote yalidunguliwa, halafu useme iron dome hazifanyi kazi!! Mzima wewe kweli??
Na hayo matatu yaliyotua, unafahamu yalileta madhara gani? Je, yaliweza kumwua mtu yeyote? Ukumbuke mwezi May, ndege ya israel iliingia anga la Iran, ilirusha kombora 1 tu, na ikawa on target, mtambo wa kurushia makkmbora wa Iran uliangamizwa, na ndege ilirudi salama.
Na ukweli ni kwamba, hata uwe na ubora kiasi gani, haiwezekani uingie vitani, halafu usipate madhara hata kidogo, labda kama unapigana na maiti!!