Netanyau aondoka hospitalini kibabe bila ruhusa ya madaktari , ahudhuria kikao muhimu cha bunge la bajeti akiwa dhaifu

Limechanganyikiwa limekuwa kama jini kisirani linalotamani kunywa damu za watu kila wakati.
Hili jamaa ni libabe halafu jasiri sana. Hakuna Kiongozi anayeweza fanya hivyo aiseee .... Jamaa nimemvulia kofia
 
Houthi wametwanga power generator jerusalem na ben gurion airport kwa hypersonic missile,basha USA kaenda kulipiza kwa kupiga Yemen, waisrael feki wamehaha baada ya ving'ora kuita
Jamaa ndo wanachotaka ili wakilipiza iwe kilio ambacho hakitakuwa na wa kubembeleza..... Wameshaanza kuchakaza huko Yemen
 

Ana umuhimu gani shetani yule? Mbona mahakamani anakotuhumiwa rushwa ameomba udhuru wa ugonjwa? Kwani kazi za mahakama sio kazi za nchi?

Hapo anaogopa asipinduliwe sababu hapendwi na kuna upinzani mkubwa dhidi yake ndio mana anaenda huku akiwa mgonjwa.

hapo alipo duniani hatakiwi mbinguni hatakiwi lipo lipo tu. Laana impate popote alipo
 
Mahakamani aliudhulia kabla ya kufanyiwa uo
Upasuaji. Fatilia vizuri
 
Mahakamani aliudhulia kabla ya kufanyiwa uo
Upasuaji. Fatilia vizuri
Ni sawa alihudhuria lakini kesi ilikuwa iendelee lakini mawakili wake wakaomba udhuru ili atibiwe kwanza kisha ndio kesi iendelee tena. Kwa hivyo ushahidi bado haujakamilika anasubiriwa apone.
 
Too bad atafanya haya yote lkn mwito wake ukifika kiburi cheo havitamfaa kitu
Hayo ndo maneno ya Masikini na waliokata tamaa wanapojifariji. Hata masikini naye mwisho wake utafika atakufa.
 
zangu ni kwa mujibu Mola na kwakuwa sijaua mtu Mola atanichukua kwa muda wake alionipangia,lakini huyo natanyahu Mopa atampa adhabu inayomstahili
Endelea kujifariji, wanaokufa kwa ajali nao wamemuua nani!? Ukweli ni huu: uwe masikini au tajiri mwisho wako utafika utakufa na mbaya zaidi huko uendako hupajui so angalau tajiri anakufa akiwa ameifaidi dunia
 
Huko mbinguni asipotakiwa kuna wajomba zako? ndo wamekujuza!? Kobazi bhana...
 
We Neta weee Weeeh Neeetaah alooooooh Netanyahu madoooobeee kataka kumsolai Kobaziiiiii, kobazi nae kalemaaaaaaa kasoro kiguru kabana kwa uchunguuuuu
 
Yule ni Komandoo! Tena alikuwa kwenye Israel special force unit Sayeret Matkal!
Harafu ni mzalendo halisi wa Israel ambaye yuko tayari kuipigania nchi yake kwa gharama yo yote. Alishajeruhiwa katika missions mbali mbali akapona.
Sasa tangu lini comandoo akaogopa kufa kwa prostate ca?
 
Hakuna cha uzalendo...
Ni kama amepagawa hivi kiakili...hawezi kiwa ok kama binadamu kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…