Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jamaa ni libabe halafu jasiri sana. Hakuna Kiongozi anayeweza fanya hivyo aiseee .... Jamaa nimemvulia kofiaLimechanganyikiwa limekuwa kama jini kisirani linalotamani kunywa damu za watu kila wakati.
Sana. Huyu jamaa ni AlienIla netanyau ni hatari Sana.
Huyu jamaa ni mbabe sana na jasiri kinyama. Akifa ataacha alama kubwa sana Duniani.Siku zake zinahesabika
Jamaa ndo wanachotaka ili wakilipiza iwe kilio ambacho hakitakuwa na wa kubembeleza..... Wameshaanza kuchakaza huko YemenHouthi wametwanga power generator jerusalem na ben gurion airport kwa hypersonic missile,basha USA kaenda kulipiza kwa kupiga Yemen, waisrael feki wamehaha baada ya ving'ora kuita
Hawajaanza leo,labda kama ulikua shimoni mwaka mzima uliopitaJamaa ndo wanachotaka ili wakilipiza iwe kilio ambacho hakitakuwa na wa kubembeleza..... Wameshaanza kuchakaza huko Yemen
Na ndo Israel inachotaka maana imeshatupigia watu wetu wa kuaminika Hamas, Hizbu, Iran na kumfukuza Assad Syria. Nimeumia sana kwa kweli.Hawajaanza leo,labda kama ulikua shimoni mwaka mzima uliopita
Ungekuwa wewe ungeomba ruhusa ya miezi mitatu mpaka kidonda kikauke lakini yeye anajiona ana ya muhimu kichwani ya ku-share kwa ajili ya taifa lake.
Usione wenzetu wanafanikiwa sana ni kwa sababu huwa wanautumia muda wao duniani kwa 100% sisi especially Watanzania kama tunautumia muda wetu haifiki hata 20% kwa sababu kwanza ni wavivu kutoka kufikiria mpaka kutenda.
Wambie wavae sare za jeshi Kama wayahudi siyo kuvaa hijabu na kificha bunduki ukipigwa usema mwana nke na watotoKuua wanawake na watoto,kupiga miundombinu ya kiraia, ndiyo kazi waiwezayo idf
Mahakamani aliudhulia kabla ya kufanyiwa uoAna umuhimu gani shetani yule? Mbona mahakamani anakotuhumiwa rushwa ameomba udhuru wa ugonjwa? Kwani kazi za mahakama sio kazi za nchi?
Hapo anaogopa asipinduliwe sababu hapendwi na kuna upinzani mkubwa dhidi yake ndio mana anaenda huku akiwa mgonjwa.
hapo alipo duniani hatakiwi mbinguni hatakiwi lipo lipo tu. Laana impate popote alipo
Adhabu ya hamas ni nayo?zangu ni kwa mujibu Mola na kwakuwa sijaua mtu Mola atanichukua kwa muda wake alionipangia,lakini huyo natanyahu Mopa atampa adhabu inayomstahili
Ni sawa alihudhuria lakini kesi ilikuwa iendelee lakini mawakili wake wakaomba udhuru ili atibiwe kwanza kisha ndio kesi iendelee tena. Kwa hivyo ushahidi bado haujakamilika anasubiriwa apone.Mahakamani aliudhulia kabla ya kufanyiwa uo
Upasuaji. Fatilia vizuri
Hayo ndo maneno ya Masikini na waliokata tamaa wanapojifariji. Hata masikini naye mwisho wake utafika atakufa.Too bad atafanya haya yote lkn mwito wake ukifika kiburi cheo havitamfaa kitu
Endelea kujifariji, wanaokufa kwa ajali nao wamemuua nani!? Ukweli ni huu: uwe masikini au tajiri mwisho wako utafika utakufa na mbaya zaidi huko uendako hupajui so angalau tajiri anakufa akiwa ameifaidi duniazangu ni kwa mujibu Mola na kwakuwa sijaua mtu Mola atanichukua kwa muda wake alionipangia,lakini huyo natanyahu Mopa atampa adhabu inayomstahili
Huko mbinguni asipotakiwa kuna wajomba zako? ndo wamekujuza!? Kobazi bhana...Ana umuhimu gani shetani yule? Mbona mahakamani anakotuhumiwa rushwa ameomba udhuru wa ugonjwa? Kwani kazi za mahakama sio kazi za nchi?
Hapo anaogopa asipinduliwe sababu hapendwi na kuna upinzani mkubwa dhidi yake ndio mana anaenda huku akiwa mgonjwa.
hapo alipo duniani hatakiwi mbinguni hatakiwi lipo lipo tu. Laana impate popote alipo
Limechanganyikiwa limekuwa kama jini kisirani linalotamani kunywa damu za watu kila wakati.