Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Nini ?Jifunze au rudia kuangalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini ?Jifunze au rudia kuangalia.
Hataki bikira 72 huyo awezi kwenda kwenye mapambanoI
Kama una hasira sana ustaadhati nenda kwenye uwanja wa mapambano.
TrashhhhhIsrael inapaswa kuwa vitani muda wote, bila hivyo netanyahu atakua nje ya serikali, waisrael wengi hawamtaki
Mkuu kobaz hawana akiliNetanyahu ndio aliwatuma Hamas wafanye ugaidi Oct 7 ? Maana kabla ya hapo hakukuwa na vita Kali japo hamas walikua wanarusha makombora ya hapa na pale
Wameanzisha ugaidi dhidi ya Israeli halafu wanakuja kulalamika kwamba Israel ndio mchokozi. Dunia imeamua kuwapuuza..Jamaa wamekuwa wapole sijui kwa nini
View attachment 3189508
Acha wauane...Wadau hamjamboni nyote?
Mazungumzo juu ya kuachiliwa yanaendelea kati ya Israel na Hamas
Makubaliano yakifikiwa na mateka kuachiliwa Israel itaendelea na vita dhidi ya magaidi ya Hamas hadi malengo yao yatimie
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
During a high-level meeting last week, Prime Minister Benjamin Netanyahu told those present that Israel will resume fighting after a hostage deal, if one comes about, Channel 12 reports.
“If there is a deal — and I hope there will be — Israel will return to fighting afterward. There is no point in pretending otherwise because returning to fighting is needed in order to complete the goals of the war. Saying this does not thwart a deal, it encourages a deal,” Channel 12 quotes Netanyahu as having said.
The remarks sparked further concern among members of the hostage negotiating team present, who feel that such assertions — especially when made public — have made it more difficult for them to secure a deal, given that Hamas has insisted on a permanent ceasefire in exchange for the hostages, the network says.
Netanyahu has pushed for a temporary ceasefire deal that only sees around one-third of the remaining 100 hostages released. Hamas has indicated some flexibility in recent weeks but is seeking assurances from mediators that the first phase of the agreement will lead to the second and third phases.
The quote attributed to Netanyahu by Channel 12 was very similar to one attributed to an unnamed senior Israeli official who told the Ynet news site earlier Monday, “Even if Israel agrees to a deal, it will resume fighting afterward in order to complete the goals
of the war.”