Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mitandao mbalimbali ya Marekani imeripoti kwamba Netflix imesitisha kuonesha filamu mpya ya Will Smith (53) iitwayo ‘Fast and Loose’ kutokana na tukio lililotokea kwenye tuzo za Oscars kwa Smith kumpiga kibao Mchekeshaji Chris Rock kwenye stage.
Kampuni ya Sony nayo imeripotiwa kusitisha utayarishaji wa muendelezo wa movie ya 'Bad Boys 4' ya Will Smith ambayo ilikua kwenye mipango ya hivi karibuni na tayari Smith alikua amekabidhiwa script ya kurasa zaidi ya 40 saa chache kabla ya Tuzo za Oscar.