Netflix na Sony wasitisha utoaji wa Movies za Will Smith

Netflix na Sony wasitisha utoaji wa Movies za Will Smith

Nollywood mnaipamba nyie ila hata budget zao za kawaida. Hivi unajua movie za usd 10 mpaka hata 30 million kwa hollywood zinaitwa low budget movie?
Sidhani kama hata hao Nollywood wana movie ambayo budget yake inafika hiyo usd 10 million
Inaweza ikawa low budget lakini idea na characters wakaua mbaya na movie ikavutia mno
 
Inaweza ikawa low budget lakini idea na characters wakaua mbaya na movie ikavutia mno
Willy Smith unajua analipwa pesa ndefu sana kuigiza, ndefu sana Nollywood hawawezi kuafford. Na filamu za Nollywood bado bado kutoboa soko la huko mbele muda mwingine hata uwa sioni tofauti ya filamu zao na za mwetu labda lugha na majumba makubwa.
South Africa walau wana filamu classic nazo pia ni chache.
Chukulia show ya Bright ya Netflix, will smith alilipwa dollar milion 27, hiyo ni almost billion 58 za kibongo.
Nollywood hawawezi afford hiyo.
 
Awakomeshe mabeberu kwa kuingilia mambo ya kifamilia kwa kwenda kuectia hiyo mivi yake India hukooooo Bollywood U Naija Norywood
Kuna Wazungu walikwenda kuwekeza Nollywood, walikwenda na scripts zao scene za nje. Filam zilidoda. Wenyewe w aliwaambia sisi tunajua, scene zetu nyingi tunafanyia ndani ya nyumba.

Ukiangalia movie za Nollywood nyingi zinachezwa ndani.
 
Ameonyesha kutetea hadhi ya mke wake imeshakuwa ni issue,hapa iangaliwe kote kote,kwani huyo Chris Rock alichokifanya kwenye stage kilikuwa ni halali...?
 
Yule director black American mwenye kàmapuni ya kutengeneza movie ...Huu ndo Muda wake wa kumpata will smith Kwa Bei ndogo Na kutoa nae movie kibao
 
Will Smith has a net worth of $350 million.
Angestaafu tu
Iyo pesa inatosha kula yeye na vitukuu
 
Kuna Wazungu walikwenda kuwekeza Nollywood, walikwenda na scripts zao scene za nje. Filam zilidoda. Wenyewe w aliwaambia sisi tunajua, scene zetu nyingi tunafanyia ndani ya nyumba.

Ukiangalia movie za Nollywood nyingi zinachezwa ndani.
Kweli aisee,mi huwa wananboa sana hata kwenye mitamthilia yao
 
Waambieni tutadownload, sio issue
 
Dah!..imekuwa ishu kubwa hivi.... wazungu bhana....
Ingekuwa Kamzaba kibao mzungu, shuhuri yake ingekuwa nzito!! Saa hizi lazima angekuwa lupango!
Huoni wale ma Polisi wa Los Angeles walikuwa wanamlazimisha Chris Rock afungue mashitaka!
 
Back
Top Bottom