Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
One mistake a thousand goalsMitandao mbalimbali ya Marekani imeripoti kwamba Netflix imesitisha kuonesha filamu mpya ya Will Smith (53) iitwayo ‘Fast and Loose’ kutokana na tukio lililotokea kwenye tuzo za Oscars kwa Smith kumpiga kibao Mchekeshaji Chris Rock kwenye stage.
Kampuni ya Sony nayo imeripotiwa kusitisha utayarishaji wa muendelezo wa movie ya 'Bad Boys 4' ya Will Smith ambayo ilikua kwenye mipango ya hivi karibuni na tayari Smith alikua amekabidhiwa script ya kurasa zaidi ya 40 saa chache kabla ya Tuzo za Oscar.
Hakuna kitu zaidi ya ujinga na kutokuwa na second thought...wakishapata pesa wanajufanyaga wana busara kumbe hayajawakuta...wamfungie every where awe normal citizen ajufunzekuna kitu ukute ndan yake
Hizi comments mzitoage na kwenye mada za kupiga wake zenu.Hakuna kitu zaidi ya ujinga na kutokuwa na second thought...wakishapata pesa wanajufanyaga wana busara kumbe hayajawakuta...wamfungie every where awe normal citizen ajufunze
watetezi wachovu kichwani...Kisa kibao...watetezi walisema family first
Nollywood mnaipamba nyie ila hata budget zao za kawaida. Hivi unajua movie za usd 10 mpaka hata 30 million kwa hollywood zinaitwa low budget movie?Awakomeshe mabeberu kwa kuingilia mambo ya kifamilia kwa kwenda kuectia hiyo mivi yake India hukooooo Bollywood U Naija Norywood
Atakutana na majambazi wastaarabu wa kwenye movie wanaovua viatu wakienda kuiba kabla kuingia ndani, wafungua mageti wote mitambo na majini yanayoangalia kulia na kushoto kabla kuvuka barabara. Bila kusahau part 1 ya movie inaonyesha muhusika akipanda gari na kuendesha mpaka movie inaisha huku kina dada wakiwa na wigi hilo hilo moja hata movie ikiandikwa miaka 20 baadae........Kisa kibao...watetezi walisema family first