NETFLIX Yanunua Movie ya Kinigeria iitwayo Lion-Heart, Bongo movie lini itanunuliwa?!

NETFLIX Yanunua Movie ya Kinigeria iitwayo Lion-Heart, Bongo movie lini itanunuliwa?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Woyoooo niaje?!
Nigerians once again wametisher
movie ya Kwanzaa Africa kuingia Netflix imetokea Nigeria inaitwa Lion Heart

Jamaica Bongo Movie tutaingia Netflix lini? !
Roho inaniumaje? !
wapi JB name Ray waje aangalie wenzake wanavyotengeneza movie

Aibuje!
Video kamili skiliza hapa
 
Soko la ndani tu lina henya henya,

Tatizo wanapenda sifa sana, hawajui kuwekeza kwenye movie, wao wakitoa movie moja pesa ikipatikana basi wanaitumbua yote wanaanza moja badala ya kuwekeza kwenye kiwanda chao cha movie
 
Uuuwi
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom