NETFLIX Yanunua Movie ya Kinigeria iitwayo Lion-Heart, Bongo movie lini itanunuliwa?!

NETFLIX Yanunua Movie ya Kinigeria iitwayo Lion-Heart, Bongo movie lini itanunuliwa?!

Mpaka wasomi waingie huko kufanya movie ndio zitanunuliwa
Note: Wasomi wengi wamekimbilia siasa zama hizi
 
Watauza movie anayoicheza Muna love,mamaake na polisi ni movie bora kutoka kwa industry ya bongo mavi.
 
Wenzao wanafanya kazi na uwekezaji kwenye movie...
Wao bongo movie wanafanya maigizo ya maisha kwenye movie...
Hawako serious.... Wanachoweza wao ni kukusanya rambirambi, kutukana mama zao,
 
Back
Top Bottom