Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Kirumi nimejitolea kununua bongo movie
nilete homeKiru
Ununue upeleke Netflix au?![emoji23][emoji23][emoji23]
UuuwiSoko la ndani tu lina henya henya,
Tatizo wanapenda sifa sana, hawajui kuwekeza kwenye movie, wao wakitoa movie moja pesa ikipatikana basi wanaitumbua yote wanaanza moja badala ya kuwekeza kwenye kiwanda chao cha movie
Aisee!netflix and chill
Hahahhaahha
Yowe za nini tena jamaaaaUuuwi
NimechekaYowe za nini tena jamaaaa
ndio bongo movie wanaweza hivyo tu.Aisee!
Nimecheka
Labda watengeneze P.O.R.N SasaBongo washakata tamaa
Hahahahaha nitakuwa wa kwanza kununua , maana kuna mmoja nataka ni mchungulieLabda watengeneze P.O.R.N Sasa
Maana naskia Hamisa anaimba
Woyoooo