Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
Hehehehe Mungu anakuooonaaHahahahaha nitakuwa wa kwanza kununua , maana kuna mmoja nataka ni mchungulie
Ataanza kuwaona wao kwanza, mimi nitakuwa wa mwisho aiseee jamaaaHehehehe Mungu anakuooonaa
kwa hizo movie eti jini anajikung'uta vumbi?!!mtasubilia sana!!!!!!
ahahahaha ile movie mpaka nimeipata doh sikuamini!kwa hizo movie eti jini anajikung'uta vumbi?!!mtasubilia sana!!!!!!
hahahahabongo muvi kifo cha mende
sauwa bro imani yako imekuponya!We can.........but through hustling...nothing is impossible!!!!
amen bro amenMwanzo mgumu, tulianza kuwauzia Steps entertainment mdogo mdogo nasi tutafika.
ni sheedah!Mpaka wasomi waingie huko kufanya movie ndio zitanunuliwa
Note: Wasomi wengi wamekimbilia siasa zama hizi
POPO noma!Wapopp always huwa ni namba 1 wanaanzaga then sie ndyo tunafuatia
hahaha sauwaAtaanza kuwaona wao kwanza, mimi nitakuwa wa mwisho aiseee jamaaa
Inaitwaje?Watauza movie anayoicheza Muna love,mamaake na polisi ni movie bora kutoka kwa industry ya bongo mavi.
UuuwiWenzao wanafanya kazi na uwekezaji kwenye movie...
Wao bongo movie wanafanya maigizo ya maisha kwenye movie...
Hawako serious.... Wanachoweza wao ni kukusanya rambirambi, kutukana mama zao,