Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu.
Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea kama watoto wao na kuwasikiliza vizuri
wakasema ndani ya siku 45 tops Simbachewene atatoa majibu ya masuala yao waliyowasilisha.
Pia soma Pre GE2025 - Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia
Siku 45 zilikuwa Aprili 27, mpaka leo Mei 15 ni ongezeko la siku 18 yaani siku 63 lakini kimya, hakuna NETO wala NYETO
🌚..... Je, ni uthibitisho kwamba ile likuwa project tu ya sisiemu kutoa watu kwenye reli? Walimu wataibuka tena au ndio imetoka hiyo tunasubiri kundi jingine lizuke litoe povu kama kawa twende na upepo?
Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu.
Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea kama watoto wao na kuwasikiliza vizuri
wakasema ndani ya siku 45 tops Simbachewene atatoa majibu ya masuala yao waliyowasilisha.Pia soma Pre GE2025 - Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia