DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Kigwangalla ambaye ni Kada Mkongwe wa CCM na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, amepata kura 1,715, huku CPA Robert Masegere akipata kura 1,635.
Julai 31, 2025, Mke wa Dkt. Kigwangalla, Dkt. Bayoum Kigwangalla ambaye pia alikuwa anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora alishindwa kutamba kura za maoni baada ya kupata kura 269 na kushika nafasi ya nne.