Network business ipi ni halali?

Network business ipi ni halali?

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Habari wakuu...

Kwanza niwashukuru sana kwa kusoma huu uzi.

Nataka kufahamu hizi biashara za networking ni ipi bora zaidi maana kila siku inaibuka mpya juzi kati kuna jamaa yangu alinialika akaniambia kuna mkutano nimsindikize kumbe ananipeleka kwenye hizi biashara wenyewe wanaitwa "DREAMERS UNITED" nikashangaa naanza kupewa mahuburi pale japo sijawahi fanya hizi biashara kwahiyo wakawa kama wananichanganya...na hawa jamaa wamejariwa vipaji vyakuongea haswaaa maana ukiwa mzembe unaona kabisa utajiri wako upo mikononi mwako.

Tatizo linalolalamikiwa na wengi ni kuwa unapojiunga hakuna mkataba maalumu kiasi kwamba ukizinguana na maboss wanachukua acc yako kirahisi na wewe kubaki ukiwa umepauka na viatu vimechoka kwaajili ya route za kutafuta watu wakuwajoin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nashindwa kuelewa hawa jamaa wanavyopenya kwenye jamii yetu na kufanya utapeli huku tukiwa na vyombo vya dola ambavyo vinaweza kuwaokoa wananchi wake na utapeli huu wa kiwango cha juu,cha ajabu unakuta wana vibali vyote na wamelipia kabisa hizo kampuni zao na baadhi ya viongozi wakubwa wakionekana katika ufunguzi /uzinduzi wa taasisi hizo fake mfano Ukienda ONET wanakuonyesha Mh H. Kingwangala akifanya ufunguzi wa tawi lao hapa Tanzania,yaani hii sijui ni nini,halafu hawataki upige picha ukiwa ofisini kwao,hawataki uwashe simu (wanaogopa videos/recordings),hawataki utoke na documents yoyote ile.
Halafu hizo bidhaa wanazodai unanunua na kupata commission ya 200$per iterm ni kuanzia milioni 4 na kuendelea
Ndio ipi hiyo

Hawa jamaa wa qnet niliwauliza maswali mawili wakaanza kujikanyaga.

1. Mwanzilishi wa Qnet ni mhindi, na ilianzia india? Kwann serkal ya india imeban Qnet?

2. Kwann makao makuu yapo Honkong china, lakini haioperate china?

( jibu apa lilikuwa ni biashara zozote za kitapeli huwezi zikuta kwenye nchi kuu tatu, USA, UK, na China sababu serikal zipo very tough kruhusu biashara za kihunihuni ili kuprotect wananchi wao. Sisi huku TZ mpaka wametuletea makokoro, bonanza, slot machine yanayofirisi watu kibao na Rais ndye alyeyafungua)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachokushauri usijihusihe na biashara yoyote ya networking hutachomoka.
Na ukiona biashara inapambwa sana kuwa utakuwa tajiri jiulize mara mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu ni hatari
Hawa jamaa wa qnet niliwauliza maswali mawili wakaanza kujikanyaga.

1. Mwanzilishi wa Qnet ni mhindi, na ilianzia india? Kwann serkal ya india imeban Qnet?

2. Kwann makao makuu yapo Honkong china, lakini haioperate china?

( jibu apa lilikuwa ni biashara zozote za kitapeli huwezi zikuta kwenye nchi kuu tatu, USA, UK, na China sababu serikal zipo very tough kruhusu biashara za kihunihuni ili kuprotect wananchi wao. Sisi huku TZ mpaka wametuletea makokoro, bonanza, slot machine yanayofirisi watu kibao na Rais ndye alyeyafungua)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli ni utapeli ulio wazi kabisa chaajabu kuna hadi leacturer wangu nimemuona nae amejoin kisha hawa watu ni kama matepeli maana lazima watafute watu waliofanikiwa ili kuleta ushuhuda ili kuwapumbaza zaidi
Mimi nashindwa kuelewa hawa jamaa wanavyopenya kwenye jamii yetu na kufanya utapeli huku tukiwa na vyombo vya dola ambavyo vinaweza kuwaokoa wananchi wake na utapeli huu wa kiwango cha juu,cha ajabu unakuta wana vibali vyote na wamelipia kabisa hizo kampuni zao na baadhi ya viongozi wakubwa wakionekana katika ufunguzi /uzinduzi wa taasisi hizo fake mfano Ukienda ONET wanakuonyesha Mh H. Kingwangala akifanya ufunguzi wa tawi lao hapa Tanzania,yaani hii sijui ni nini,halafu hawataki upige picha ukiwa ofisini kwao,hawataki uwashe simu (wanaogopa videos/recordings),hawataki utoke na documents yoyote ile.
Halafu hizo bidhaa wanazodai unanunua na kupata commission ya 200$per iterm ni kuanzia milioni 4 na kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli ni utapeli ulio wazi kabisa chaajabu kuna hadi leacturer wangu nimemuona nae amejoin kisha hawa watu ni kama matepeli maana lazima watafute watu waliofanikiwa ili kuleta ushuhuda ili kuwapumbaza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mpaka mahakimu,wanasheria,madaktari,waandishi ,na hawa ndo watoa shuhuda ila ajabu shuhuda zao 75%wanaongelea kumiliki magari makubwa mawili,matatu,nk na kusomesha na wote wanajinadi kuwa wameacha kazi za kuajiriwa serikalini au mbioni kuacha kwani huku kuna mabilioni,.HahahahahA Good morning billionaire! !!!!!!So smart

Kuna Dada mmoja yeye ni muhasibu anakwabia ameacha kazi tena naye akamshawishi boss wake kuacha kazi...ninachokiona kikubwa ni kwamba ukishaingia na kuwekeza inabidi upambane na ww upate watu wako ili ikulipe

Namna ya kujiunga ni lazima ununue bidhaa tena kwa bidhaa zenyewe hakuna ya chini ya 1m ni kuanzia 3m kwenda juu, mpk upate hao partners ili upate faida na pesa irudi sio leo na kumbuka ulivoshikwa wewe sivyo utakavyowashika wengine broo, [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]tena kwa speed ya hatari

Baada ya kuwasikiliza na kupata msosi wao wa bure nilitimkaaaaaaa sikuangalia nyuma...jamaa wana ushawishi sana unaweza hisi wewe tu ndio masikini uliebaki duniani

Pia inaumiza kweli moyo kabisa hunajihisi kwa nini huelewi wakati kweli ukipinga hesabu zile za kuzaa shufwa shufwa (2,4,8,16,24,.....)lazima ujione maskini hakika,nami kilichoniokoa ni Jf humu kwani sindano zilishaanza kuniingia kabisa,kingine kilichoniokoa ni kutokuwa na hizo pesa za kuanzia kununua bidhaa,wakati mwingine Mungu ana makusudi yake jamani hakika tushukuru kwa kila jambo
Good morning billionaire! !!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wakagundua kuendeaha upatu au ponzi schemes za hela tu kama DECI watashtukiwa. wakaamua kuweka bidhaa katikati kama hao Forever, GNLD na wengine kibao
Wanatafuta nchi ya watu wajinga kabisa ndiyo wanaenda kufanya hii kitu.
Machiaveli alisema ukitaka kudanganya/kutapeli hutakosa watu wa kuwatapeli/kudanganya.
 
Habari wakuu...

Kwanza niwashukuru sana kwa kusoma huu uzi.

Nataka kufahamu hizi biashara za networking ni ipi bora zaidi maana kila siku inaibuka mpya juzi kati kuna jamaa yangu alinialika akaniambia kuna mkutano nimsindikize kumbe ananipeleka kwenye hizi biashara wenyewe wanaitwa "DREAMERS UNITED" nikashangaa naanza kupewa mahuburi pale japo sijawahi fanya hizi biashara kwahiyo wakawa kama wananichanganya...na hawa jamaa wamejariwa vipaji vyakuongea haswaaa maana ukiwa mzembe unaona kabisa utajiri wako upo mikononi mwako.

Tatizo linalolalamikiwa na wengi ni kuwa unapojiunga hakuna mkataba maalumu kiasi kwamba ukizinguana na maboss wanachukua acc yako kirahisi na wewe kubaki ukiwa umepauka na viatu vimechoka kwaajili ya route za kutafuta watu wakuwajoin

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja na Mimi nitoe ushuhuda hapa. Nitoe historia fupi nilifikajefikaje...

Siku moja nimetoka Posta nikapitia Makumbusho kupanda Daladala za kwenda Boko. Sasa pale stendi wakati nasubiri daladala nikaona mdada flani mrembo hatari. Note ilikuwa saa mbili usiku. Likaja la Kwanza bhana bhana likasimama mbali, Kama mnavyojua kwa nchi yetu lazima uact uncivilized kupata seat(Raisi Magufuli please check this, tunataka level seat). Sasa yule dada akawa anakimbilia. Bahati mbaya nae sijui ndio uclassy alikuwa karibu lakini akatulizwa nyuma. Hakugombania. Sasa nikaona nimepata opening. Silazagi Damu. Nikamfata. Nikaanza na issue ya usafiri kuwa mgumu. Then nikamuuliza anafanya wapi kazi etc. Kwa kweli ni mzuri. Kilichonishangaza akaanza kujiproud Sana kuhusu kazi yake tena akaniambia 'I am my own boss'. Mimi mawazo yangu nikajua anasimamia showroom ya mzee au insurance company. Ila nikasema mbona anafight na madaladala Kama kazi yake anajilipa mpaka 2M. Tena akanimba number wa Kwanza... Mhhh nikasema leo mbona Mambo easy.

Bhasi daladala lingine lilivyokuja nikaleta ubabe nikamtafutia mpaka seat. Akakaa pembeni yangu. On our way nikawa nashikwa shikwa aisee. Watu waliotuona am sure walijua sisi wapenzi. Akaniambia ana hamu yakuniona kesho yake. Duhhh mie Tena nikasema 'mrembo Kama posh queen nimkatalie'. Nikamlipia mpaka nauli nikashuka kituo flani. Akaendelea na safari. Bhasi usiku mida ya saa sita akanipigia. Tuliongea masaa mawili sijui. Hapo ananipanga. Mara hujaoa, sijui nimekupenda. Akaniambia pia kuhusu yeye... Details nyingine wacha nikaushe maana nimemdescribe sana akisoma hii identity ya Ghost kwishnei.

Fast forward... Akaniambia kuhusu hio Network business yao. Nikamwambia nikipata hela nitajoin. Kwa kweli sikuvutiwa nayo. Bhasi everyday ananitafuta tuonane. Nikawa namkacha. Bhasi Kuna siku nikaenda. Duhhhh yani huyu dada mhhhhh. Niseme tu kwa uzuri alionao atawateka wanaume wengi wanaolegeza. Maana ni unashikwa... Anakuwekea paja kavaa short dress Yani na mguu mweupr tena wa beer. Yani usipoangalia brain inashort na unajiunga. Siku hio akaniambia anataka officially tuwe wapenzi. Nikakubali. Sasa siku nyingine nilionana nae restaurant moja. Alikuja na rafiki yake. Wakanikomba hela ipasavyo, wakati katoka kwenda bafuni, rafiki yake akanitonya. Akaniambia 'Ghost, Nicole anawafanyia hivi wanaume kibao hili waingie kwenye business yake. Haupo mwenyewe.' Duhh I was shocked. Ila nikakausha.

Baada ya wiki nikampigia simu huyu dada nikamwambia Sina hela yakujoin hio business yenu. Weeeeeee kilinuka. Siku hio mpaka akaniambia upliner wake ndio anamdate na alishamtambulisha. Mimi hanitaki Tena. Nikamwambia Kama ulikuwa nae kwanini ukaingia kwenye mahusiano na Mimi. Nikafyonzwa tu. Toka siku hio sijawahi mtafuta tena. Sinaga tabia yakublock mtu. Mimi naignore tu. Mwaka huu kanitext Mara nne... Anaomba msamaha kimya.

-----------------

Story imekwisha. Now nakujibu. Hizi businesses unaweza pata hela ila wanaonufaika ni wa mwanzo tu. Kupata mshiko uwe na social circle yakueleweka. Kama unafanya kazi BOT, TRA, nk na una marafiki wengi humo bhasi utatoboa. Ila Kama wewe *** wacha nisiseme kazi za watu, anyway what I mean Kama marafiki zako choka mbaya usiingie kwenye hii business maana umetoa sadaka. Pia miaka inavyozidi kwenda na pesa inapungua since branch zinaongezeka. In the end utajikuta hupati anything na hii ni Kama unafanya kazi TRA na unazidi kurecruit watu.

-callmeGhost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyingi ni wizi na utapeli tu. Kwa wanaojinasibu kufanya biashara ya vitu/vyakula, labda ujiunge kwa lengo la kununua baadhi ya hivyo vitu uvipendavyo na si vinginevyo
 
Mke wangu kaingia kwenye cold war na kaka yake mtoto wa baba yake mkubwa kisa mambo ya Qnet. Kaka yake alimtafuta na kumwambia kuna business proposal anataka amshirikishe, ye akaniambia mie nikampa go ahead... Wakakutana sijui restaurant gani huko bwana wapo kibao na vidada vidada hivi (according to maelezo yake) na salamu yao ya "good morning billionaires" hata kama ni saa kumi jioni.
Katika kumbana eti ni biashara hiyo, asa ye mjanja na elimu yake kichwani akaona wanataka kumla hela tu. Akawaambia ye hana hela labda anishirikishe mimi nimpe mtaji. Bwana wakambana mumeo hela anazo wakaanza kumpa mbinu za kunitaitisha ili apate hiyo hela. Baada ya kuagana na kuondoka akaja kuniambia acha nimchekeeeeeee, basi akamfungukia bro wake hataki kufanya hiyo biashara na asimshirikishe tena biashara kama ndio biashara za namna hiyo. Tangu siku hiyo bro wake kamblock mitandao yote na hamtafuti tena
Nikajiuliza inamaana kaka yake mwenyewe alitaka kumtapeli mdogo wake kweli?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom