DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Habari wakuu...
Kwanza niwashukuru sana kwa kusoma huu uzi.
Nataka kufahamu hizi biashara za networking ni ipi bora zaidi maana kila siku inaibuka mpya juzi kati kuna jamaa yangu alinialika akaniambia kuna mkutano nimsindikize kumbe ananipeleka kwenye hizi biashara wenyewe wanaitwa "DREAMERS UNITED" nikashangaa naanza kupewa mahuburi pale japo sijawahi fanya hizi biashara kwahiyo wakawa kama wananichanganya...na hawa jamaa wamejariwa vipaji vyakuongea haswaaa maana ukiwa mzembe unaona kabisa utajiri wako upo mikononi mwako.
Tatizo linalolalamikiwa na wengi ni kuwa unapojiunga hakuna mkataba maalumu kiasi kwamba ukizinguana na maboss wanachukua acc yako kirahisi na wewe kubaki ukiwa umepauka na viatu vimechoka kwaajili ya route za kutafuta watu wakuwajoin
Sent using Jamii Forums mobile app