Network business ipi ni halali?

Network business ipi ni halali?

Mwalimu wangu Wa Olevel nimemkuta kwenye tangazo Facebook Eti anaingiza kipato cha shilling mil6 kwa mwez ameacha kazi ikabidi niwaulize nliosoma nao wakaniambia bado afisa elimu wilaya gani,wasanii sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nawe ni Mungu aliekuchomoa,japo ulitumia haraka kukimbia bila kumkojolea huyo agent jamani,ilitakuwa umwoonyeshe kuwa na wewe ni master kwa kumla na bila kujoin bado ungemwambia ngoja uchukue mkopo bank hata wa 20m ili ujoin
Ngoja na Mimi nitoe ushuhuda hapa. Nitoe historia fupi nilifikajefikaje...

Siku moja nimetoka Posta nikapitia Makumbusho kupanda Daladala za kwenda Boko. Sasa pale stendi wakati nasubiri daladala nikaona mdada flani mrembo hatari. Note ilikuwa saa mbili usiku. Likaja la Kwanza bhana bhana likasimama mbali, Kama mnavyojua kwa nchi yetu lazima uact uncivilized kupata seat(Raisi Magufuli please check this, tunataka level seat). Sasa yule dada akawa anakimbilia. Bahati mbaya nae sijui ndio uclassy alikuwa karibu lakini akatulizwa nyuma. Hakugombania. Sasa nikaona nimepata opening. Silazagi Damu. Nikamfata. Nikaanza na issue ya usafiri kuwa mgumu. Then nikamuuliza anafanya wapi kazi etc. Kwa kweli ni mzuri. Kilichonishangaza akaanza kujiproud Sana kuhusu kazi yake tena akaniambia 'I am my own boss'. Mimi mawazo yangu nikajua anasimamia showroom ya mzee au insurance company. Ila nikasema mbona anafight na madaladala Kama kazi yake anajilipa mpaka 2M. Tena akanimba number wa Kwanza... Mhhh nikasema leo mbona Mambo easy.

Bhasi daladala lingine lilivyokuja nikaleta ubabe nikamtafutia mpaka seat. Akakaa pembeni yangu. On our way nikawa nashikwa shikwa aisee. Watu waliotuona am sure walijua sisi wapenzi. Akaniambia ana hamu yakuniona kesho yake. Duhhh mie Tena nikasema 'mrembo Kama posh queen nimkatalie'. Nikamlipia mpaka nauli nikashuka kituo flani. Akaendelea na safari. Bhasi usiku mida ya saa sita akanipigia. Tuliongea masaa mawili sijui. Hapo ananipanga. Mara hujaoa, sijui nimekupenda. Akaniambia pia kuhusu yeye... Details nyingine wacha nikaushe maana nimemdescribe sana akisoma hii identity ya Ghost kwishnei.

Fast forward... Akaniambia kuhusu hio Network business yao. Nikamwambia nikipata hela nitajoin. Kwa kweli sikuvutiwa nayo. Bhasi everyday ananitafuta tuonane. Nikawa namkacha. Bhasi Kuna siku nikaenda. Duhhhh yani huyu dada mhhhhh. Niseme tu kwa uzuri alionao atawateka wanaume wengi wanaolegeza. Maana ni unashikwa... Anakuwekea paja kavaa short dress Yani na mguu mweupr tena wa beer. Yani usipoangalia brain inashort na unajiunga. Siku hio akaniambia anataka officially tuwe wapenzi. Nikakubali. Sasa siku nyingine nilionana nae restaurant moja. Alikuja na rafiki yake. Wakanikomba hela ipasavyo, wakati katoka kwenda bafuni, rafiki yake akanitonya. Akaniambia 'Ghost, Nicole anawafanyia hivi wanaume kibao hili waingie kwenye business yake. Haupo mwenyewe.' Duhh I was shocked. Ila nikakausha.

Baada ya wiki nikampigia simu huyu dada nikamwambia Sina hela yakujoin hio business yenu. Weeeeeee kilinuka. Siku hio mpaka akaniambia upliner wake ndio anamdate na alishamtambulisha. Mimi hanitaki Tena. Nikamwambia Kama ulikuwa nae kwanini ukaingia kwenye mahusiano na Mimi. Nikafyonzwa tu. Toka siku hio sijawahi mtafuta tena. Sinaga tabia yakublock mtu. Mimi naignore tu. Mwaka huu kanitext Mara nne... Anaomba msamaha kimya.

-----------------

Story imekwisha. Now nakujibu. Hizi businesses unaweza pata hela ila wanaonufaika ni wa mwanzo tu. Kupata mshiko uwe na social circle yakueleweka. Kama unafanya kazi BOT, TRA, nk na una marafiki wengi humo bhasi utatoboa. Ila Kama wewe *** wacha nisiseme kazi za watu, anyway what I mean Kama marafiki zako choka mbaya usiingie kwenye hii business maana umetoa sadaka. Pia miaka inavyozidi kwenda na pesa inapungua since branch zinaongezeka. In the end utajikuta hupati anything na hii ni Kama unafanya kazi TRA na unazidi kurecruit watu.

-callmeGhost



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia inaumiza kweli moyo kabisa hunajihisi kwa nini huelewi wakati kweli ukipinga hesabu zile za kuzaa shufwa shufwa (2,4,8,16,24,.....)lazima ujione maskini hakika,nami kilichoniokoa ni Jf humu kwani sindano zilishaanza kuniingia kabisa,kingine kilichoniokoa ni kutokuwa na hizo pesa za kuanzia kununua bidhaa,wakati mwingine Mungu ana makusudi yake jamani hakika tushukuru kwa kila jambo
Good morning billionaire! !!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa good morning what !!? My foot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom