NETWORK BUSY

NETWORK BUSY

Hii sijui ni kwangu tu au kila mtu ila sifahamu maana napiga simu hazitoki Naambiwa tu "network Busy"

Ninavyojua huu u busy wa network hutokeaga 1 hour before kumaliza mwaka na 1 hour afteer kupokea mwaka

ila mwaka huu sielewi ndio kwanza saa hizi ni saa 8:36pm ila tayari mtandao uko busy.
Huo uozo tangia jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom