Network unlock

Network unlock

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
118
Habari wakuu,

Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali.

Imei yake 351838090697861.
 
Kama kuna mtu anaweza unlock remotely basi aicheki na hii androidone sharp

353023080782084
 
Habari wakuu,

Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali.

Imei yake 351838090697861.
Kwa mara ya mwisho naangalia kwenye server za online verizon ilikuwa hai-support sijui kwa sasa kama iko supported.
 
Mimi mwenyewe nilitunza Motorola V3 mpaka sasa hivi imelala kwa sababu ni Network locked. Sikupata tool za kufungulia.


Sent from my cupboard using mug
 
Kuna hii tecno y3+ imei 356144074159209
 
Back
Top Bottom