Network ya Garage Sales, Tanzania

Network ya Garage Sales, Tanzania

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari wanajamvi,
Kwa sisi wa maisha ya kawaida, fursa hupatikana pale mtu anapohama au kuuza vitu kwa bei ndogo kwa ajili ya kutaka kununua kingine.

Especially wakipatikana wale wageni ambao kwa namna moja au nyingine wanauza vitu vyao kabla tu ya kuhamia nchi nyingine.

Kuna baadhi ya mitandao nimepata lakini haziko updated.

Endapo unafahamu mitandao kama hii, tujuzane!
 
Mkuu, mimi sifahamu hata mmoja, waweza nambia unazofahamu, kwa kuwa nami ninawazo hilo
 
Mi sifahamu kama kuna mitandao hiyo, mara nyingi wanufaika ni watu wakaribu/wapambe.
Isipokuwa zipo chanel za watu wanaouza vitu vyao tu labda amevichoka/shida kuhama nk. Hizo hata hapa jf zipo tu!
 
Back
Top Bottom