CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
For how long?
Kwa heshima na taadhima natangaza kukupenda daima kwa kuniepushia simu za usumbufu hasa kwa wanao nidai. No network ndio kauli mbiu yetu, karibuni wageni
Tigo hii ya kileo au ile ya Express Your Self?
Tigo hii ya kileo au ile ya Express Your Self?
anatangaza tigo naona kapewa rights za matangazo
Mh.................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????????????? TiGO........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????
Karibu mkuu
Nishakaribia wemtamu nashangaa TiGO tu hapa mzima weye......
Mi mzima paka, sasa sijui wewe ni paka dume ama jike.. anyway, endelea kufurahia huduma zetu. Tupo katika majaribio ya kutumia mfumo wa simu ya kamanda mwema
Mh..!! Leo ni siku yangu ya kushangaa,hivi pamoja na mahangaiko yangu yote ya kutongoza pamoja na kufumaniwa na ruttashobolwa katika harakati hizo hujabahatika bado tuu kuijua jinsia yangu..??