Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
hamieni voda ana airtel !!!!!!:nerd::nerd::nerd:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wana matatizo ya kiufundi halafu hawasemi, binafsi jana baada ya kugundua tatizo nikaswitch simu yangu kwenda 3G walau hapo network ilikua stable...tatizo linakuja sio watu wote wenye simu zinazosupport 3G
Terms and conditions?zipi tena hizo?hapa ni kuhama tuu!Sidhani kama kuhama ni suluhisho, fidia ndiyo ya kuijadili, au tunabanwa na terms and conditions?
unawezaje kuswitch kwenda 3G minina N70 Nokia nafanyaje?
Thanx
Baada ya kugoogle nimepata maelezo haya hapa sijui kam ayatakuwa masaada kwako;unawezaje kuswitch kwenda 3G minina N70 Nokia nafanyaje?
Thanx