EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ni muda mrefu ila nilikuwa naitumia kwenye PC nimeanza kuitumia tu juzi na simuHiyo router umenitumia kwa muda gani? Na hilo tatizo la bundle kuisha haraka umeligundua lini?
Update si mpaka useti zinaweza tu kuanza kujiupdate bila kuziruhusuUkitumia wifi Simu automatic inajua ni unlimited inaji update, kama Kuna apps playstore zipo outdated miaka kadhaa zote zitaji update.
Sema ikimaliza ku update itakuwa kawaida tu.
Ndio ukiconect na wifi ni Automatic ila ukiwa na mobile data ndio mpaka uruhusu.Update si mpaka useti zinaweza tu kuanza kujiupdate bila kuziruhusu
Mfano hapa hiki kipengele nimekizima ina maana unataka kuniambia update inaweza kufanyika kwenye wireless hata kama hiki kipengele nimekizima.hiki kipengele ni cha ku-update android na si AppsNdio ukiconect na wifi ni Automatic ila ukiwa na mobile data ndio mpaka uruhusu.
India playstore click picha yako kwa juu nenda my apps utaona kama kuna pendings update ama activity yoyote.
Sema unaweza Zima update mazima hata na wifi is update.
Hiyo ya kuzima unafanyajeNdio ukiconect na wifi ni Automatic ila ukiwa na mobile data ndio mpaka uruhusu.
India playstore click picha yako kwa juu nenda my apps utaona kama kuna pendings update ama activity yoyote.
Sema unaweza Zima update mazima hata na wifi is update.
Hiyo ya kuzima unafanyajeNdio ukiconect na wifi ni Automatic ila ukiwa na mobile data ndio mpaka uruhusu.
India playstore click picha yako kwa juu nenda my apps utaona kama kuna pendings update ama activity yoyote.
Sema unaweza Zima update mazima hata na wifi is update.
Hii sasa ni update ya simu.Mfano hapa hiki kipengele nimekizima ina maana unataka kuniambia update inaweza kufanyika kwenye wireless hata kama hiki kipengele nimekizima.hiki kipengele ni cha ku-update android na si Apps
View attachment 1863809
Tatizo hili linatokana na baadhi ya apps ku update on wifi only na mara nyingi huwa defaults setup ni hiyo kwa apps nyingi, yaana updates zinafanyika kukiwa na wifi tu na mara nying hata system update pia hutegemea wifi connection lakini zikisha upadate zote mambo yatakaa sawaKwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu kinachonisikitisha bundle linaisha haraka kuliko nikitumia njia ya kawaida ya kuweka line kwenye simu.
Inaonekana data zinaenda hata kama haubrowse kitu. Imagine kuna siku nimenunua bundle ya data ya 1.2GB nimeshinda tu Jamii Forums kuangalia post mara bundle limeisha. Swali langu ni je kuna setting pengine nikifanya ninaweza kudhibiti hiki kitu?
in many cases tatizo sio router ila simu yako imefanyiwa setup kufanya update kupitia WiFI auto tofauti na kupitia simu direct inafanya update kwa kuinitiate manuallyKwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu kinachonisikitisha bundle linaisha haraka kuliko nikitumia njia ya kawaida ya kuweka line kwenye simu.
Inaonekana data zinaenda hata kama haubrowse kitu. Imagine kuna siku nimenunua bundle ya data ya 1.2GB nimeshinda tu Jamii Forums kuangalia post mara bundle limeisha. Swali langu ni je kuna setting pengine nikifanya ninaweza kudhibiti hiki kitu?
Hahaha whatsup is wasteful and stupidDownload na uinstall data tracker app kama hii hapa, mfano mimi ninayo kwenye simu na PC kwa ajili ya kutrack matumizi ya data per app, per time...
Kuna wakati data ilikuwa inakimbia sana kwenye simu, like kuna siku simu yenyewe ilikomba karibia 2.5GB kwa muda wa masaa 2 hivi...
Nilipokuja kuweka hii kitu ikanionesha ni whatsapp sijui ilikuwa inafanya 'upumbavu' gani, ni kama ilikuwa ina upload kitu kwenye server kiasi cha kufikia 1.8GB...
Before and after, kabla ya Jun 17 ndio nilikuwa napigwa na whatsapp hatari, lakini nilipogundua janja yake, nimeilimit whatsapp isifanye downloading au uploading yoyote bila mimi kuipa ruksa
View attachment 1864114
Hiki kipengele cha data usage settings kinapatikana wapiZima system/os update kwenye simu yako,
Zima auto update kwenye playstore kule kwenye update over WiFi,
Napia chek data usage settings kwa kila app utakayo tumia maana app nyingi mfano WhatsApp/insta /YouTube ukiconnect WiFi huwa zina tumia Data zaidi so kwa kila app nenda kwenye kipengele cha Data usage/setting kuondoa auto downloads au slect data saver/ mfano YouTube inaweza kustart video katika 1080p hii itakula bado sana tofauti na ukishusha quality chini kama 480p hapo utasave data etc.