EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu kinachonisikitisha bundle linaisha haraka kuliko nikitumia njia ya kawaida ya kuweka line kwenye simu.
Inaonekana data zinaenda hata kama haubrowse kitu. Imagine kuna siku nimenunua bundle ya data ya 1.2GB nimeshinda tu Jamii Forums kuangalia post mara bundle limeisha. Swali langu ni je kuna setting pengine nikifanya ninaweza kudhibiti hiki kitu?