The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Hello All
Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz
Hello All
Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz
Programming weweHello All
Nihitaji kupatata ufahaku kuwa kati ya masomo hapo juu ni lipi kati ya hayo yanalipa na maana hata mshahara wake unakuwa mziri plz
Programming wewe
inalipa kuliko hayo yote
Usikatishwe tamaa na watu wanatoa ushauri kwamba ni lazima uwe mzuri katika Physics & math katika level ya university, kuna watoto, hata high school hawajamaliza wanaandika program zinazotisha. Ushauri wangu ni kwamba mambo ya CS / IT yanahitaji uwezo wa kufikiria kwa mpangilio (logically) hicho ndo kitu cha maana na lazima kabisa lakini mambo ya university hayana ukweli wowote kwenye hii fani.

Mshikaji amesema kwamba hauiitaji elimu ya chuo kikuu kuwa programmer ndo namsahihisha kwamba you need one if you want to become the real professional.Freelancer Ulichosahihisha ni kipi hasa?
Tuchukulie mfano unataka kuwa Website Developer au Website Designer ambayo ni nyepesi kuliko hiyo ya Developer....
Mshikaji amesema kwamba hauiitaji elimu ya chuo kikuu kuwa programmer ndo namsahihisha kwamba you need one if you want to become the real professional.
Mzee ungekuwa ni computer scientist ungenielewa. Website development inajumuiasha utumiaji wa vitu kama wa technologies kama javascript, server side scripting kama za php ,asp,perl, java servlets, java beans, C hash, vb.net na kadhalika. Sasa wewe hiyo development unayoingelea ni ya simple html au? kwenye dunia ya sasa hivi tunaongelea dynamic websites na database driven web sites. kwa hiyo tunaona knowledge ya programming ilivyo na umuhimu mkubwa. lakini kujua tu programming haitoshi inatakiwa uwe na knowledge pia ya kuweza kufanyia analysis algorithms zako. Hiyo ndo hoja yangu. Huwezi kupata elimu hiyo kiujanja ujanja tu kama mshikaji anvyodai na ndo the way navyothink nikiwa kama computer scientist.
Consider the following scenario kwamba una develop a database driven website. Sasa katika kufanay query kwenye database kuna staili tofauti ambazo kila programmer anaweza kuzitumia katika kuandika query yake. As a computer scientist mimi nachowaza ni optimatization. Nitaandika query in a such a way that database server itafanya a minimum amout of work katika kuzichota tuples kama natumia RDBMS. kuna query zinakuwa zinafanya hata kazi isiyohitajika na hiuvyo kupoteza resources zinazohitajika na server processes zingine. resources ambazo zinapotezwa na user mmoja zinaweza zisiwe na effect ila watapofikia user milioni moja effect itakuwepo. Sasa elimu kama hii mzee huwa inapatikana tuu kwa form four leaver.? tusijidanganye. Wapo watu wengi kwenye it mpaka watu wanashindwa tofautisha nani professional na nani kanjanja. Huwezi ukamfananisha graduate wa computer na jamaa anayefanya trouble shooting au kufanya installation ya windows au anajua kuandika kodi kidogo tu basi.
Labda naongea vitu in abstract way itakuwa ngumu kunielewa nasema nini
Usikatishwe tamaa na watu wanatoa ushauri kwamba ni lazima uwe mzuri katika Physics & math katika level ya university, kuna watoto, hata high school hawajamaliza wanaandika program zinazotisha. Ushauri wangu ni kwamba mambo ya CS / IT yanahitaji uwezo wa kufikiria kwa mpangilio (logically) hicho ndo kitu cha maana na lazima kabisa lakini mambo ya university hayana ukweli wowote kwenye hii fani.
Nakuelewa kuliko unavyodhani.
Inaonesha ulivyomuelewa, sivyo nilivyomuelewa mie.
GarageRules amekuwa very specific.
Sidhani kama alimaanisha kusema "hauhitaji elimu ya chuo kikuu kuwa programmer ".
Hujakosea ndio elumu zetu za bongo........Thanks Buswelu, kwani hata mie nimesoma PCB, then BSc Biology lakini kazi niliyooanzia ni Research assistant, then data management with a few database management course and GIS ninafanya kazi hii for more than 5yrs, and am well paid! Kwasasa ninajaribu tafuta MSc IT but was worried of this Background ingawa Physics yangu na Maths A na O-Level even now ni nzuri tu. So this has given me some hope.
haman kitu rahisi kama IT duniani....kama uliweza kukariri yale maandishi ya kilatin why not IT ambapo una dela na vitu unavyoviona na kuvifanyia kazi hapo hapo....Yeah ndo elimu zetu za Bongo maana vyuo vingi let alone secondary pia tumesoma bure lakini pia choice ndogo hivyo sio sawa na nchi nyingine ambako mtu unasoma toka primary kitu ambacho ni hobby, family business oriented and so on. Kwahiyo sio ajabu kukuta mtu akiisha anza kulipwa mshahara akaenda specialize kitu tofauti mradi uwezo unacho whats the problem here, na nadhani inakupa more chance ya kuajiriwa or?
Kama wanavyosema wengine, ninalengo la kujiajiri baadae, na kufika hapo inabidi uwe na mtaji na experience = more pay which requires more knoweldge while still employed. Ndo maana ninataka kujua zaidi kuhusu hiyo field unayotaka kujiajiri baadae(IT) lakini career wise nikawaninahofu hii MSc IT na background nyingine itakuwaje. Kwani mtu itabidi uendelee kufanya kazi muda ndo ujiajiri na pengine hata baada ya kujiajiri, lakini kutokana na comment ya Buswelu kuwa background does not matter ndo nimepata moyo kuwa MSc IT is possible vs others or am I on the wrong track???
mkuu usiwaogopeshe watu waone kama IT ni bonge la deal kuijua na ina watu wake.....ICT ipo very broad. Kusema IT ni very easy ni kupotosha watu. Tuna watu wengi wana practise IT lakini in real sense ni weupe.
mkuu unaonekana mtu wa kukatisha tamaa sana watu wasiingie kwenye field ya IT.....sasa umeshasema they r good in longo longo hao hawawezi kuijua IT hao wanajua longo longo katika IT ili ku master kitu hutakiwi ujue longo longo aka ubabaishaji.....Nina mifano ya watu ambao wamesoma degree zingine na baadaye wakaenda kwenye iT. ila ni wachache huwa wanakuwa wazuri. nina mifano ya watu wengi sana ambao they are good in longo longo za IT lakini in real sense ni weupe. If you think u can do it it go for it
Why?? kwanini shule zipo kibao duniani ni pesa yako....kwani wewe ulisomea wapi mpaka uakwa comp guru ambapo wengine hawawezi kupata shule hapo?Ila Shule itakuwa mtata kupata kidogo